Safari ya Singida, hoteli gani nzuri naweza kufikia?

Safari ya Singida, hoteli gani nzuri naweza kufikia?

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Habari wana wa nchi,

Nina safari ya Singida na ninasafiri na familia, mke na watoto wawili.

Naomba kujua hoteli nzuri yenye staha ninayoweza kufikia kwa karibu siku nne nitakayokuwa huko.

Mwenye uzoefu na mkoa huu tafadhali. Ni Singida mjini.
 
Watakuja muda si mrefu wa singidan
 
Fikia shaloom hotel ina vyumba self na bei ni chee. Mpya nazingira tulivu sana. 0783158226
0755057164
Nilipapenda sana.
 
Poa mkuu ila ukitupia na bei angalau za kuanzia kwa room single/double siyo mbaya
 
KATALA BEACH HOTEL (kbh) ina kila kitu ipo ufukwe wa ziwa singida,pametulia vizuri km hupend haya mahotel ya mjin
 
nililala mbacho mwaka 2004 sijui kama bado ipo
 
KATALA BEACH HOTEL (kbh) ina kila kitu ipo ufukwe wa ziwa singidan,pametulia vizuri km hupend haya mahotel ya katkat
 
Pentagoni-Unyankindi imetulia pia!
 
Aksanteni sana wadau, angalau nimepata pa kuanzia. Nawashukuru sana.
 
Yah, shaloom ni pazuri sana, pametulia, bei rahisi, full kufunikwa na damu ya Yesu

Fikia shaloom hotel ina vyumba self na bei ni chee. Mpya nazingira tulivu sana. 0783158226
0755057164
Nilipapenda sana.
 
Back
Top Bottom