Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Mkuu Mentor haya mambo yaliyokushangaza kule kwa majirani zetu waliojaliwa watoto waliumbika yalishazungumzwa sana hapa jamvini ili yafanyike kama wanavyofanya hao jirani zetu katika jitihada za kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali ambazo haziongezi tija kwa Watanzania lakini hii Serikali taahira Ooops!!! Serikali sikivu haimbiliki hivyo bado hizi gharama kubwa mbali mbali bado zinaendelea mwaka nenda mwaka rudi bila huruma yetote ile kwa walipa kodi.
Waache majirani zetu wa Kinyarwanda waridhishwe kwa asilimia kubwa na utendaji uliojaa ufanisi mkubwa wa Serikali yao ukilinganisha na hii Serikali yetu ambayo utendaji ni SIFURI.
Safari ya Rwanda yenye mazuri ya kuiga ili kuleta maendeleo, mfano kupunguza matumizi ya uendeshaji wa serikali na mengine sio ya kuigwa ama kuendekezwa mfano nyumba ndogo nk.
Nikisoma hii story nakumbuka tena Mentor utao lini?. Kuna uhusiano hapo ama?
Who cares....
There is nothing either good or bad, but thinking makes it so - elmagnifico
Cc: shemeji Nivea (huyu hafai tena kuwa shemeji nipe mimi tu..Bcc: Nicas Mtei )
Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.
oooh..kumbeMentor ni mfanyakazi wa serikali katika wizara moja hapa nchini. Mentor anafanya kazi muhimu sana ya kuhakikisha bosi wake anafika mahali anapotaka kwa muda anaotaka (Well, wakati mwingine Mentor huchelewa na kugombezwa sana). Ila mentor anafurahia sana kazi yake maana inampeleka sehemu mbalimbali nchini. Watu humuita Mentor, dereva.
Mentor:mkuu imeangukia siku mbaya.Ikifika saa sita mcha naamini utabadili maelezo,eti ni siku ya wajinga,Aprili Mosi...
Ukiacha upuuzi wa Rwanda kwenye baadhi ya mambo, ila kwa uwajibikaji hawana mfano...
Juzi tulikutana na Kagame anatoka Ikulu, yaani kwa Bongo ulikuwa kama msafara wa msanii wa bongo movie...
Hakuna mbwembwe hata kidogo na magari hayakuzidi 8, pamoja na kwamba alikuwepo pua my wife wake..
Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.
Hadi hiki kizazi cha malofa, walafi na wezi kikitoweka chote....
Labda kitu kama Tsunami kingesaidia..
Yaani hata ukimpambanisha Rais wetu na wa Rwanda,wa kwetu atapigwa ngumi za uso mpaka asahau Magogoni kama iko Tanzania au Rwanda.
oooh..kumbe
Nyagatare bro..unapajua?? nje kidogo na jiji la Kigali...
Nataka utaifa wa Rwanda...read the story uone why ngauti!!!
Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.
Mhhh u clearly have not read between the lines brother...
Babu Dark City, nashangaa why we can't copy hivi vizuri kutoka kwa wenzetu...
Oh nooo babu Dark City, huyu mjamaa tuseme ndo anakuwa mbunge wako unadhani atataka mabadiliko from the status quo? Eti tufuje kwa sababu tunazo nyingi..WTF!???
Mkuu RUTAJUMBUKIRWA, i hope u didn't mean any of the things u jus wrote..esp the bold one!!!