mh!!" huu ujumbe umenikumbusha mbali my x nilimwambia nakupenda sana akasonya eti UNAJUA KUPENDA WEWE!!!! WAPO WANAOJUA KUPENDA SIO WEWE.... nililia na wala hakushtuka na vimachozi vyangu
Jamaniii poyeee ehee baada ya hapo?? Akawa ka frank au aliendelea kuwa kauzu zaidi ya dagaa...
Fyoooooo!! Unataka kupigwa wewe!!!
Frank kauzu.
Frank kauzu.
Jamani unahitaji kuwa na moyo wa Subira kumkabili mwanaume Kama Frenk Kwa kweli
sanaaaaa
tena ngoja niiweke ile picha hapa
Lakini kaji redeem alivyomalizia.
Huyo bidada alivyo mvumilivu hapo Frank itabidi atangaze ndoa tu, vinginevyo kamuonea.
Kuna.malaika.mmoja.huwa ananikosha sana kwa moyo kama huo. Ananielewa kabla sijataka kueleweka.
Ingawa mi si kauzu.
Hadi wewe kukiri ni malaika, kafanya kazi ya ziada.
Usimfanyie ukauzu sana.
ha ha ha ha ha
Fyoooooo!! Unataka kupigwa wewe!!!
Jamaniii poyeee ehee baada ya hapo?? Akawa ka frank au aliendelea kuwa kauzu zaidi ya dagaa...[/QUOT
we acha tu kunawatu wanadharau mpaka bac..... hakua na muda!!!
Hahaaaaa lol fyooo tena???
Jamaniii poyeee ehee baada ya hapo?? Akawa ka frank au aliendelea kuwa kauzu zaidi ya dagaa...[/QUOT
we acha tu kunawatu wanadharau mpaka bac..... hakua na muda!!!
Duu kweli alikuwa hakupendi