Safari ya mahusiano (mapenzi)

Safari ya mahusiano (mapenzi)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,761
Reaction score
15,577
Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada..
Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli.
Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF.

Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi nilikua na mwamba wangu mmoja ambae tulisoma nae ila mimi nilikua nimemtangulia mbele. So alikua likizo na mimi na yeye tulikua tunaonana jioni muda nakua nisha toka job, mala nyingi tulikua tunaenda kukaa kwenye duka la dada yake na sometimes anamshika duka kidogo.
Tukiwa kijiweni hapo kuna binti alipita, kiukweli alikua mzuri, toto jeupe la kisukuma na alikua kavaa T. Shirt ya kazini (alikua anafanya kazi hotel flani) inshort nilitokea kumpenda.
Jamaa yangu kwa vile alikua anamuona mala kwa mala na ni rafik wa dada yake hapo dukani jamaa alimuita na kumsalimu.

Mimi nilipomuona anaongea na jamaa nikamtizama na kumpima nikaona ananifaa na ipo siku nitarusha madini yangu.

Basi siku moja nilikua juice point na msela wangu mwingine tena yule manzi akapita, nikamwambia mwanangu huyu manzi natamani kwenda kuongea nae, basi baada ya dakika chache akageuza na alikua anatembea na rafik yake, nikainuka nikavuka barabara nikamfata upande wa pili,
Mwamba sikukwepesha habari nikamsimamisha nikamwambia kuwa mimi nimekuelewa naomba unipe namba yako, akawa kama hataki nikarudia kama mala mbili kuwa usinifanyie hivo mimi nimekuelewa yani wewe nipe namba yako tutaongea, nikatoa simu yangu manzi nae akataja namba.
...............
Kufika usiku nikachati nae tena WhatsApp manzi akanionesha picha kabeba mtoto akasema ni mtoto wangu, nikamjibu fresh tu.
Nikarusha Nakupenda kama zote, manzi akanipigia video call mie nilikua gizani apo. Mimi ndo nikawa namuona, kavaa sindilia na tyti tu.

Moyoni nikasema tayari kesho tu nakula Tunda hili.

Kesho yake manzi akadai anasafiri na atarudi baada ya siku moja, asubuhi naenda job nikajiongeza nikatuma 5000 ya vocha, Video call ilinichanganya sana.

Siku manzi karudi nikaenda getoni kwake nikapaona mapema tu geto ni chumba kapangishiwa na boss wake, then akabadili nguo tupo nae chumbani kwake, nikamfata akiwa kwenye kioo nikamkumbatia kwa nyuma nikamkiss shingoni, hakurespond yeye akavaa tukatoka.

Basi mie siku hiyo niliingia kazini mchana, usiku manzi tunawasiliana yeye alikua bado kazini kwake nikamwambia nakuja... Akasema poa.

Nimefika namwenzie aliyekua anaingia shift yake tayari kafika basi manzi tukatoka nae tunaelekea getoni kwake, tukapita shop nikamnunulia chocolate, na yeye alijinunulia vocha.

Tumefika getoni kwake hakuna makochi tukajirusha wote kwenye kitanda chake, manzi akaunga bandle akaanza kuingia insta, mala fb nikaanza kumtomasa, nambusu wapi mtoto harespond chochote nikimshika kifuani ananitoa mikono, mala ooohh mimi sifanyiwagi hivo,mala mimi sishikwi hivo.

Mmmh nikaanza kuona leo usiku wa mzungu wa nne, manzi sio riziki.

Nilitafuta viatu vyangu vilipo nikavaa nikamwambia naondoka. Akanifungulia mlango na geti nje nikasepa. Baada ya siku mbili nilienda kazini kwake nimelewa ila niko makini kabisa.

Nikamkuta anapiga story na mwamba mmoja na demu kavaa kimini kakaa kwenye kiti kimitego kabisa, nilipofika baada ya dakika 2 jamaa alitoka akaniacha na manzi mimi ndo nikaenda kukaa kwenye kochi sasa, mapaja yake niliyashika ndio, nilipotaka kumkiss mdomoni akagoma😩, punde akanambia nikamnunulie chakula, nilitoka nikaondoka mazima.

Baada ya kama wiki nilienda tena kazini kwake bahati mbaya. tukaonana nikawa namuhoji kulikoni mimi na yeye majibu yake yalikua ya kishamba na wizi wizi tu.
Nikaanza kumshika tena mapaja na yeye akanifungua zipu, alipopitisha mkono wake kwenye boksa yangu, akili yangu ikaniambia nimtoe, nikamtoa mkono na yeye.
Manzi akaniambia ninataka mahindi ya kuchoma..
Nikamwambia poa tutaenda kununua, ngoja match iliyo kwenye tv iishe kwanza.
Baada ya mpira kuisha nikajiondokea zangu mazima.

Basi story yangu na huyo manzi ikaishia hapo, nilifuta na namba yake maana kuna siku nilimpigia simu akawa anajibu kwa dharau.

Sorry nimejitahidi kubana kila tukio, ili nisiandike sana.
SEMA NENO KABLA SIJATOA MIMI NENO
 
Mkuu surya ngoja nikupe characteristics of a good story
1.Good character introduction
2.Good explanation of Love and relations
3.Conflict
4.Suspense(very important)
5.Resolution
6.Happy ending.

Story yako imekosa vyote
 
Mkuu surya ngoja nikupe characteristics of a good story
1.Good character introduction
2.Good explanation of Love and relations
3.Conflict
4.Suspense(very important)
5.Resolution
6.Happy ending.

Story yako imekosa vyote
Nimetoa matukio, am not good story teller
 
Dhalau ✖
Dharau ✔
Mala ✖
Mara ✔

Nimekuelewa kwa shida kiasi, story yenyewe imepoa. in short hauwezi kusimulia story. 💃
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😂😁😀😄😄😃
 
Dah kwaiyo hata kupima oil hukupima mzee
 
Yaani ulishindwa hata kula hilo tunda kimasihara? Wewe vipi wewe????
 
Alibana mapaja vidole vikaishia kwenye mavuzi
Aaah mzeee kwaiyo ukashindwa hata kutekenya tekenya hapo huku ukiziba pumzi kwa juu huku kifuani mzeee mbona aibisha chama la mabaharia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom