Nyabhihere
Member
- Nov 9, 2020
- 73
- 85
Happy Mimi ninaona tatizo sio huyo demu bali tatizo ni wewe.
Ni sawa, Ni akili yako imeona hivo,
Na hatujui umetumia vigezo gani
Unajuwa kitu ambacho wanaume wengi(si wote) huwa tunakosea,ni kudhani kuwa mwanamke ni Kama chombo Fulani(mf baiskeli)ambacho ukiwa nacho unaweza kukitumia mda wowote,mahali popote bila utashi wake wala mipango ilmuradi tu wewe umejisikia kufanya hivo.Ni sawa, Ni akili yako imeona hivo,
Na hatujui umetumia vigezo gani
mkuu inaonekana ulikua vizuri saana kwenye fasihi..lugha na sanaa.. naona umelezea vizuri mnoMkuu surya ngoja nikupe characteristics of a good story
1.Good character introduction
2.Good explanation of Love and relations
3.Conflict
4.Suspense(very important)
5.Resolution
6.Happy ending.
Story yako imekosa vyote


Hahah amna mkuu mbn kuna vingi nmeacha kama Uhalisia wa mazingira/mandhari(setting), mlolongo wa matukio(plot),Lugha na Muundo unaotumikamkuu inaonekana ulikua vizuri saana kwenye fasihi..lugha na sanaa.. naona umelezea vizuri mno![]()

