Safari ya kwenda UJERUMANI

Safari ya kwenda UJERUMANI

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari, mimi ni mwanafunzi wa ustawi wa jamii. Nilituma maombi ya kujiunga na exchange progamme mwaka jana iliyochini ya Tanzania Youth Coalition(TYC). Hapo jana majira ya saa8 mchana nikapigiwa simu na mtu wa TYC akajitambulisha kisha akasema walipokea maombi yangu hivyo akaniuliza, je? Mwezi wa sita tarehe 14 utakuwa tayari kwenda ujerumani kwa training ya wiki tatu, nikamjibu nipo tayar. Akaniambia sawa basi ngoja tu-confirm then nitakupa taarifa lini uje kwaajili ya interview nikamwambia sawa.
Kuna yeyote yule anayewafahamu hawa jamaa?
 
'si ulituma kwa xchange pro iliyo chn ya TYC,tangu unatuma au baada ya kutuma hukuona kuwa kuna ulazima wa kuwafaham,au'
 
'si ulituma kwa xchange pro iliyo chn ya TYC,tangu unatuma au baada ya kutuma hukuona kuwa kuna ulazima wa kuwafaham,au'

ninaomba msaada kwa wakati huu kwahyo kama sikuomba msaada kwa wakat huo unautaka wewe basi ujue wakati huo sikuwa na shida na hizo taarfa, kwahyo hzo taarfa nazihitaji sasa. Karibu tena
 
Angalia mkuu wasije wakakuingiza king mana wazurumaji wamekuwa wengi sana mjini ila nakuombea ufanikiwe!
 
jitaidi kua makini Mkuu wengi wametapeliwa cha msingi wafatilie hao TYC ofisini kwao
 
Ndugu yangu kuwa makini maana siku hizi matapeli ni wengi hasa wamtandaoni kwani hata mie nimetumiwa kama wewe ila nchi ya burkinafaso sasa nimewapuuzia kwani naona hata maelezo yao yamejaa kitapeli sana hivyo uwe makini nao wasije kuingiza mjini bure endelea kuwafuatilia kwa makini ili ujue mwisho wao nini na kama sio matapeli basi fanya vile ulivyofanya mwanzo ila kama ni matapeli jiengue mwanangu siku hizi wako na wanafaidi migongoni mwa watu
 
Hizo ni e-mail za kitapeli. Subiri utaambiwa utume kiasi cha fedha.
 
have worked with TYC on an exchange program call global exchange if you can tell me who called you then i can confirm but its true they do have exchange programms three month in Uk and Three month in Tanzania .

Give me more details and i can be able to advise you
 
Nchi hii imeshaharibika na utapeli kila pahala ndio maana hata watu wengine wanajiuliza mwisho wetu nn maana hatueleweki
 
Ofs za tyc zipo kijitonyama karibu na shule ya msingi kijitonyama unaingia barabara kama unaenda mwananyamala.Brbr hyo inaitwa akachube.Tembea umbali kama wa mita mia 3 uliza utaoneshwa.Nafkir ukifka ofsin kwao utajua uanze vp kupata more info
 
have worked with TYC on an exchange program call global exchange if you can tell me who called you then i can confirm but its true they do have exchange programms three month in Uk and Three month in Tanzania .

Give me more details and i can be able to advise you

unfortunately i don't remember the name of the one who called me but his mobile number is 071354**18, in the evening they called again and asked me to attend kijitonyama-akachube for oral interview next friday
 
Kuwa makini waweza kuwa matapeli wale wa dawa za kilimo
 
unfortunately i don't remember the name of the one who called me but his mobile number is 071354**18, in the evening they called again and asked me to attend kijitonyama-akachube for oral interview next friday

We uliomba kwa njia ya email au kwa simu au ulipeleka kwa mkono maombi?
 
Aisee kuna watu wanakatisha tamaa humu ndani..

Mungu akusaidie dada LISA HEKE inaonekana kama ni issue ya ukweli.
 
Back
Top Bottom