Safari ya kwenda Cape Verde na dreamliner imebuma.

Safari ya kwenda Cape Verde na dreamliner imebuma.

Tuwe wazalendo na chetu!! Kwann hatupendi kupenda na kuufurahia utanzania wetu hadi tunaponda kilicho chetu. Kuukubali ugeni na kuutupa utanzania niujinga uliopitiliza!
haya maneno yako yamfikie " yule bibi wa hela ya mboga .. mzee wa vijisenti na wale wote waliotupiga changa la makinikia .. bila kumsahau yule aliyetupiga trillion 1.5
 
Acheni utani, hivi wakati mnapanga safari hamkujua dreamliner inahitaji uwanja wa size gani?
 
Tuwe wazalendo na chetu!! Kwann hatupendi kupenda na kuufurahia utanzania wetu hadi tunaponda kilicho chetu. Kuukubali ugeni na kuutupa utanzania niujinga uliopitiliza!
Viongozi ndo wasababishi,shetani ndo chanzo cha uovu wote duniani
 
Back
Top Bottom