Safari ya kuelekea utumwani kwa Miaka Mitano ndio imeanza?

Naomba Mwenye Kufahamu Bei ya Gas ya Kupikia jamani
 
Safari Imekuwa Ngumu kwelikweli na kuna Wasiwasi wengi watakufa Njiani! Ila ni Wabishi maana wengi wao bado hawajaona wala hawajutii Uamuzi wao.

Umeme Umekuwa Pigo kubwa katika hii Safari

1. Vinyozi wanalia, wanatamani wangepewa nafasi ya Pili ya Kuchagua
2. Wenye Stationery na Printing shops nao wanalia wanashindwa kuelewa nini kinatokea
3. Wenye Mashine za kusaga nafaka, wenye Mashine za Kukamua Mafuta nao Taabani

Hali ni Mbaya sana lakini ni Lazima Watanzania tujifunge Vibwebwe maana hii ni Safari ya Miaka Mitano
 
Maftuta ya Taa yamepaa ( Tsh 2200) Petrol Imekataa Kushuka ( sasa TSh 2320) dah, hata Tochi nazo zimekuwa bidhaa adimu maana Demand imeongezeka ha ha ha
 
Back
Top Bottom