Safari ya kuelekea udom kwenye interview......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Asubuh na mapema ndani ya Stand ya Jamatini,Nakutana na Watu wengi hususani vijana na mabaasha ya kutosha kuelekea Mjini Udom.....
Ngojen tuone nini kinaendelea huko.
 
Asubuh na mapema ndani ya Stand ya Jamatini,Nakutana na Watu wengi hususani vijana na mabaasha ya kutosha kuelekea Mjini Udom.....
Ngojen tuone nini kinaendelea huko.

Hao mabasha nao wanaenda kufanya interview? Anyway ukimaliza utanikuta hapa Savannah Bar.
 
si mchezo ni full vi2ko....wameita watu alafu hawajajipanga...
"Ingieni kwenye vyumba humo mtatangaziwa huko huko"
 
Hao mabasha nao wanaenda kufanya interview? Anyway ukimaliza utanikuta hapa Savannah Bar.

Mkuu tatizo la kiuandishi hilo, ukweli alikuwa akimaanisha bahasha, si unajua humo wameweka vyeti vya shule!
 
15102011(001).jpg 15102011.jpg
 
Back
Top Bottom