liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
Umesema mwenye maswala ambayo haya itaji majibu anakuwepo na yanayo itaja maamuzi yake anakimbia du jamaa mnjanja uyo.
Habari njilizozipata sasa hivi inasemekana yule mtoto LULU ndio kwanza ana umri wa miaka 17 sio 18 kama ilivyodaiwa...
Mh Rahisi
mwananchiMmmmh nna mashaka hebu mtoa mada atuambie source yake sio kusema tu et moja ya magazeti ya leo tupe nomino ya hilo gazeti nasi tulipitie"
Sijui kwa nini huyu jamaa anapenda kuhudhuria misiba kila mtu maarufu anapofariki ,is a president for good sake,kwani hana wasaidizi pale ikulu?.na je nauliza kwamba ni misiba yote ya watu mashuhuri atakuwa ana hudhuria?kuna vitu vingi vya kufanya anavyo na hili taifa linavihitaji , kwani ile barua aliyeitoa ilionesha wazi kuguswa na msiba huu na si mpaka kwenda kwani tayari mwanae na baadhi ya mawaziri wake walishaenda,sasa anairisha safari muhimu kwa maslahi ya taifa kwa kitu ambacho sidhani kama kina tija kwa taifa letu.lazima atambue majukumu yake kama rais la sivyo atatufanya tuonekane kituko mbele ya macho ya kimataifa.
Nadhani focus ya JK iko kwenye wrong goal post! Wakati mpira unatakiwa uelekezwe kusini yeye anapeleka mashambulizi kaskazini. Poor him!