MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Ndo maana cloufd media waliamua ku-terminate mkataba wa kipanya. Jamaa amekuwa muwazi sana siku hizi.
Kipanya yuko kazini kwenye biashara sio lazima kibwengo chake kiwakilishe hali halisi.
Masoud Kipanya my hero ,ng'ang'ana na uzalendo Mkuu
Tumeambiwa jana kwamba ni muhimu kwake kuonana na Bill Gates..........hayo ya wagonjwa can wait.
Ili uwe mzalendo mtukane kikwete...... hiki ni kipimo kipya kabisa cha uzalendo kilichotolewa na maabara ya Froida. kwa mwendo huu uzalendo kwa nchi yetu utazidi kufa
Jamaa mkali
Masoud namkubali sana yuko wazi na wala hafichi fichi wala kuogopa impact ya kile atakachokiandika
kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?