Safari ya demokrasia Tanzania: Baki upinzani upate tabu au hamia CCM upate cheo

Na wote tukihamia ndani lazima fukuto litazidi..... ebu fikiria kitakachotokea baada ya hapo....
Ndipo maneno ya mwalimu yatakapotimia upinzani wa kweli na wenye baraka utatoka CCM.sio huu wa kibaguzi wa akina Lowassa wenye laana.
 
Wapinzani kwa sasa mna machaguo (option) mbili tu.aidha mtapata tabu sana au mtapata raha sana.ni wavumilivu tu watakaopita katika wimbi hili.
Tanzania kwa sasa inapitia katika mabadiliko makubwa ya kisiasa kuliko ya kiuchumi naomba tujadili kama watanzania tunaelekea katika siasa za mfumo upi? Je tutaweza kuwa na ushindani wa kisiasa katika chaguzi mbalimbali? Je tunajua madhara ya utaratibu unaofanyika hivi sasa kwa baadae.

Karibuni wanachama wenzangu wa JF mtoe mawazo yenu.

Ahsanteni!
Na endapo upinzani wote wakiamuaa kuhamia CCM je wote watapata vyeo?
 
Write your reply...
Ulitakiwa umripoti polisi Polepole kwani siasa ndani ya vyombo vya usafiri ilipigwa marufuku.
 
Kwa staili hii ya ruswa ya vyeo kwa wapinzani, na kuwafunga au kuwapiga au kuwanyanyasa wapinzani, machaguzi ni mawili tu , kuhamia ccm ule raha au kubaki upinzani familia yako ikusahahu. Nawashauri upinzani , kaeni kimya , kuleni maisha na familia zenu. Tuacheni wananchi tunyooke kwanza.
 
Bado tupo kwenye mikono salama kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiulinzi na usalama!! Watanzania tuendelee kula maisha!!
 
Upinzani wote unamaana na wananchi wanaoviunga mkono vyama vya upinzani una maana gani?
Na ndo ujinga wa chama cha mbongamboga kudhani ati hakuna wananchi wanao amini katika mfumo wA vyama tofauti.yani kwao viongozi wa upinzani ndo upinzani wenyewe,kwamba kwa waitara kurudi kwao basi ukonga nzima ni waamini wa chama cha mboga mboga

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom