MTU mmekutana naye tu JamiiForums unamwachia gari yako, wengine Wana mapepo ya uharibifu, Akishuka tu gari Ina anza kuumwa magonjwa yasiyo Na idadiHivi kuna kuaminiana kwa kiwango hiko kweli??
Daaaaah bujibuji bhana kweli waga kuna mapepo ya uharibifu ndugu mmhMTU mmekutana naye tu JamiiForums unamwachia gari yako, wengine Wana mapepo ya uharibifu, Akishuka tu gari Ina anza kuumwa magonjwa yasiyo Na idadi
Nitampa lift nitaendesha mwenyeweDaaaaah bujibuji bhana kweli waga kuna mapepo ya uharibifu ndugu mmh
Halafu amuombe huyo dereva was basi aendeshe yeyePanda bus
Huwezi jua wahaya mkuuHivi kuna kuaminiana kwa kiwango hiko kweli??
Mmmh nisaidie kushangaa....mi naenda huko na private car but siwezi thubutu, mtu humjui??!!Hivi kuna kuaminiana kwa kiwango hiko kweli??
Hivi ile inakuwaga ninini?MTU mmekutana naye tu JamiiForums unamwachia gari yako, wengine Wana mapepo ya uharibifu, Akishuka tu gari Ina anza kuumwa magonjwa yasiyo Na idadi
Nisamehe mkuu.Wewe kayeke kwa kila aendaye moshi ni mchana ivi watanzania kurogwa au mna matatizo gani asee
Najua ulitaka kuandika mchaga!! kawaida mbona. Mi siyo mwarimu wa kiswahili kubwa nielew ulichokimaanisha tu.Kwanza iyo sentensi umeielewa mimi mwenyewe nliendika nimeisoma mara ya pili na sijaielewa asee izi smartphone ni za ajabu
Wanasakamwa Na Pepo la uharibifuHivi ile inakuwaga ninini?
Mwingine ukimpa lift ....akishuka tu, mikosi inaanza kuliandama Gari lako mpaka unajiuliza hivi huyu mtu ana nini?!!