Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

Kaka gari ni bovu safari linazopewa ni tatizo gari haina uwezo nazo.Sijaongea suala la spidi ila kwa vile hauko safarini hayo pia ni mawazo yako.sasa ni saa 12:50 tuko dodoma ndo mwendo stahiki?
Hapo umekamatwa pole sana
 
Katika magari ambayo nilijutia kupanda ni happy nation ni mabovu sana tulitoka mbeya kama saa kumi na mbili na nusu hivi tulifika dar saa tano usiku nililaani balaa hawa jamaa sijui kwa nini wanashindwa kufanya matengenezo mabasi yao mapema kabla ya safari maana linaondoka tu stendi limeharibika.
 
Jamaa wamejaribu nawapa pongezi(Happy Nation) ingawa wanamagari mabovu lakini wametuletea basi nyingine iko sawa na ina nguvu.big up kwenu ingawa mwanzo mlisha chemsha, pia askari wa usalama barabarani aliyekuwepo shukrani kwako kwa kuweka pressure tuweze kupata gari mapema
 
Basi majanga lenyewe ndo hili hapa
 

Attachments

  • 1451339807359.jpg
    1451339807359.jpg
    27.9 KB · Views: 86
  • 1451339836169.jpg
    1451339836169.jpg
    52.7 KB · Views: 87
  • 1451339866610.jpg
    1451339866610.jpg
    44.5 KB · Views: 79
Magari inatakiwa yalale shinyanga au nzega.mwanza siku hz mengi yanaingia kesho yake kila kona kuna tochi ckuvhz mkuu
 
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Hayo Mabasi Ya Happy Nation Ni MAJANGA Mkuu!!! Mi NAKUMBUKA Mwaka Jana Tulikuwa Tunaenda Msibani Dom, Kumzika Mfanyakazi Mwenzetu!!! Tulitoka UBT Saa 1.00 Asbh Tunakatiza Mataa!! Kuzika Ilikuwa 10 Alasiri!!! Basi Dom Tuliingia Saa 9.38 Alasiri!! Hadi Tunafika Home Kwao Bahi Road, Tena Pamoja Na Kusubiriwa Na Gari La Ofisini, Tulikuta WAOMBOLEZAJI Wakitoka Kuelekea MSIKITINI!!!!! Basi Kwenye Tambarare Linatembea Vizuri, Likiona Mlima Tu, Hata Lori Nafuu!! HALIWEZI Kupanda, Ni Kama Lori Lililobeba Tan 50!!!
 
Panda Leo coach luxury bus bonge la bus ac, sehem za kuchaji simu
 
Lete mrejesho mkuu, mpo wapi sasa? Manyoni?
Mkuu nilishuka Igunga ilikuwa saa 6:00 kamili usiku nikaamua nilale hapo,ila walibadirisha gari, nikiwa na maana ile iliyokuwa goigoi tuliiacha Dodoma...Gari tuliyopandà ya pili ilikuwa iko vizuri pia ni Happy Nation brand.
 
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi

Siku ukipanda gari zuri ulete mrejesho humu,sio kuleta habari za malalamiko tu,na wewe jitahidi uwe muaminifu na makini katika kazi zako za kila siku ama sivyo na wewe iko siku utalalamikiwa kama wewe unavyolalamika kuhusu huduma ya hilo Basi.
 
Siku ukipanda gari zuri ulete mrejesho humu,sio kuleta habari za malalamiko tu,na wewe jitahidi uwe muaminifu na makini katika kazi zako za kila siku ama sivyo na wewe iko siku utalalamikiwa kama wewe unavyolalamika kuhusu huduma ya hilo Basi.
Mkuu hebu Soma post yangu ya mwisho.Nafikiri nimesema baadae walichokifanya Happy Nation na nikakipongeza pia nime"quote" juu ya kisesa express.Lengo si kutoa malalamiko kama ni malalamiko basi labda ningeenda Sumatra ila nilichokifanya ni kutoa tahadhali.Sasa kama tahadhali hiyo ukiona haina mashiko achana nayo siku moja waweza kuwa Thomaso.Kuna mtu aliiwahi anzisha thread ya Majinja express na watu walimshambulia sana humu ila yaliyofuata kila mwana JF anajua...
Na duniani haishi mtu mmoja ukikosea wewe au mimi basi wawili watesema mmoja atakaa kimya au kinyume chake.
Kwa hili sikua na nia ya kushambulia biashara ya mtu au ku promote biashara ya mtu naomba nieleweke hivyo mwana JF mwenzangu.
 
Hizo pia umezipitia siko ' bias' mkuu
 
Lile tamko la SUMATRA kwamba gari likiwa linakimbia sana tutoe taarifa huwa silielewi kabisa.Je dereva akeamua kuendesha kama mwendo wa kinyonga tutoe taarifa wapi?
 
Ukitaka kuwahi panda kisbo ni sheeda na ukitaka luxury panda leo express au kisesa bro kama nauli yako ni pungufu panda best line hata ukiwa na elfu 25 mwanza unafika
 
Back
Top Bottom