Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,273

Itakuwa ni safari yake ya 326......................

Ni 315 ndugu!

Itakuwa ni safari yake ya 326......................

Yule sharobalo wa magogoni kesho anakwea pipa kuelekea Namibia huku nchi ikiwa ktk giza na uhaba batili wa mafuta!

Rais huyu ambae dhahiri penge la shekhe yahaya linaoneka anaondoka bila kutoa kauli yoyote juu ya mafuta yaliyogeuka kuwa bidhaa muhimu utadhani cocaine.

Hii ni dhihaka kwa watz wakti kwake ni faraja kwa kuvunja recods za akina Vasco da Gama na Dorsel Velsrio!

Amebakisha 39 kutimiza safari za mwaka, sasa fanya amekaa 3 days katika kila safari utapata miaka mitatu. Mungu atuondolee hili Balaa

Kesho Yule Mtalii Mzee wa Anga anatua Namibia wenye kuhesabu Safari zake tunaomba watupe namba.

Mimi kama President Elect sishabikii sana safari za nje ya nchi, lakini kama ni utaratibu wake kajiwekea unachoweza kufanya kama mwananchi wa kawaida ni kutoa maoni na kumshauri Rais wetu, ila uamuzi wa mwisho ni wake mwenyewe. Nimtakie tu safari njema, na arudi salama.

anaenda mtoko na darling wake.

Wajinga ndio waliwao, JK hata akigombea kura sasa hivi utashangaa mijitu inajitokeza kumchagua, huku ikiendelea kulalamika eti maisha magumu!
Enyi walimwengu, jwanini isiwe The busiest President ever? Mnanchekesha.