safari ndefu ya walibya imeanza

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Walibya watasafiri safari ndefu ambayo hawakutegemea
Gadaffi amekubali kushindwa na kwa taarifa zilizopatikana hivi punde anaenda kujiunda upya na kuwa rebel kwa serikali mpya.
hawa rebel wapya yaani Gadaffi watapambana na serikali na watashinda na kuingia tena madarakani
walibya wajiandae kwa safari ndefu isiyojulikana mwisho wake
 
NATO haitakubali,ni vigumu.
 
Mkuu hizi taarifa ni kutoka chanzo gani, BBC, Sky News na CNN vyombo vya habari vinavyoegemea upande wa waasi vimetangaza kuwa hali ya mapigano imeibuka uipya nchini Libya na kwamba Col. Gadhafi ameutangazia umma kuanzia sasa upigane for 'victory or martyr' na kwamba wanajeshi loyal kwa Gadhafi wameanza kutumia silaha nzito kuwasambaratisha waasi mjini Tripoli
 
Back
Top Bottom