Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,246
- 33,852
- Thread starter
- #21
Nnangale,akikujibu pitia koka baridi unitumie namba ya simu nilipe kwa mpesa.
Hebu soma hizo kurasa hapo chini tuone kama zitasaidia kumwelewa John Okello:
Nnangale,akikujibu pitia koka baridi unitumie namba ya simu nilipe kwa mpesa.
Jitokeze we chawa......Sheikh ponda ameamua kuimalizia heshima ndogo aliyobaki nayo
Ameamua kulamba matapishi yake ili mkono uende kinywani