Safari kutoka Arusha kurejea Dar

Safari kutoka Arusha kurejea Dar

godson Lomayani

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
538
Reaction score
711
Nilitegemea ningepata tabu katika safari yangu,lakini nashukuru nilipata usafiri wa uhakika wa Basi la Dar Lux lililokuwa likiendeshwa na mwanamama the trip was comfortable,thanks God nimefika salama kwenye mji wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sikukuu hazijaisha boss!
 
umekimbia mapema mkuu.mara hii likizo.kwisha au unakuja kumalizia hesabu towm
 
Nilitegemea ningepata tabu katika safari yangu,lakini nashukuru nilipata usafiri wa uhakika wa Basi la Dar Lux lililokuwa likiendeshwa na mwanamama the trip was comfortable,thanks God nimefika salama kwenye mji wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mji wako kwani wewe ni RC....just kidding😀😀😀😀😀😀
 
sasa ungepanda ndege ingekuaje,kama dar lux tu umekuja kufungua uzi jf?
 
Back
Top Bottom