Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
😊Ukiambiwa haifai bas unaacha kwenda nayo au?? Naukiambiea inafaa unaenda sio , sawa mkuuWazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.
Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??
Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?
Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
naeza pata nami kazi kama wewe kakaWazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.
Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??
Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?
Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
Watu hutoka Kigoma mpaka Dar kwa baiskel yeye anauliza garInafika pikipiki ndio itakuwa gari, au kigari chako kimeo unajihami?
Huu Ushauri kutoka kwa Guru kabisa Mtoa mada anza safari kama ukihitaji Spare zipo Auto Market AppHilo ni gari Mkuu sio mnyama useme atachoka. Wewe nenda mwendo wa kawaida tu. Kuna muda funga vioo kuna mida fungua kioo chako na cha nyuma cha abiria upande wa kushoto.
Zaidi ya yote ukihisi uchovu pumzika kidogo, usize gari ghafla kama umetembea umbali mrefu kama 500km, acha liwe silence.
Epuka mbio na watu, kama sio mziefu wa masafa na kuendesha gari barabara za taifa, tembea 80 - 120 P/h.
Usitupie kabisa mitungi. Usiseme utaenda, usiage inapobidi. Wewe ingia barabarani tu.
Safari njema
Muoga huyuWatu hutoka Kigoma mpaka Dar kwa baiskel yeye anauliza gar
Original, nipo morogoro naitafuta dodomaUnatumia coolant yake original au umeanza kuiwekea maji ya kawaida kama msukuma?
Hapana nauliza tuMuoga huyu
Nimeanza safari saa 9 usiku leo, nipo Morogoro, speed 80 -100Km/h sometimesMbona gari inauwezo mkubwa tu .. usizidi sp 80 . Na ni vizuri kuanza safari alfajiri . Mi nilitoka mwanza saa 9 alfajiri sikuwa naendesha kama safari ya u seriously ni kama naenda shinyanga tu nikivuka mkoa to mkoa ,saa 2: 45 usiku nipo zangu sinza kama sijafafiri vile .