kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 397
- 424
- Thread starter
- #141
Saed Ramovic kaiongoza Yanga michezo 6 ya ligi kuu na mmoja wa FA. Vs Namungo, Kagera, Coppo, Dodoma, Mashujaa, prisons na Fountain gate. Je katika hizo timu unaiona timu ipi ilikuwa na ubora kulinganisha na wachezaji wa Yanga?
Katika klabu bingwa mechi ya mwisho ambayo Yanga ilihitaji ushindi wa aina yeyote lakini kashindwa kuifanya Yanga ifuzu kwa kushindwa kuchanga karata ipasavyo. Leo hii ndio mnaona anaweza kuivusha timu mbele ya Zamalek, Mc Alger na Club Africain? Wakati mwenzie Gamond mechi ya nyumbani ya maamuzi alimtandika Belouzdad chuma 4 na Pacome ndiye aliyekuwa ni mmoja ya mkombozi katika mpango wa Gamond ila Saed akamuweka benchi Pacome halafu unataka ushindi. Hajui kupiga hesabu huyo Saed wenu.
Timu haiwezi kuchezwa na mchezaji mmoja huyu kocha Ni muumini wa team work ndiyo maana wachezaji wote walikuwa Wana fighting spirit Alafu kwa kipindi like huyo pakome hakuwa na game fitness Kuna mchezo vs Al hilal omduman hakuwa kwenye pick hata mchezo vs Mazembe.
Alafu elewa kitu kimoja yanga anashiriki ligi kuu ya Tanzania kwahiyo nikikwambia saed ramovic ameshinda mechi6/6 za ligi kuu ukisema hizo timu hazina unabora itakuwa hauna akili unataka acheze na Madrid,psg au Bayern Munich au