Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,196
- 25,516
Kufuatia sintofahamu juu ya kutangazwa kwa matokeo ya Ubunge,jimbo la Ubungo,mgombea wa CHADEMA/UKAWA Saed Kubenea amesema kuwa Tume inataka itangaze kwanza ya Urais kabla ya Ubunge.
Akizungumza na wananchi,katika viunga vya UDSM,Kubenea amedai kuwa hana shaka haki itatendeka. Kubenea amesisitiza kuwa matokeo ya Ubunge yanapaswa kuanza kutangazwa na si ya Urais. Kwasasa wananchi wametawanywa kwa amri ya polisi.