Namuomba Mungu Ombi hili "yeyote atakayeshiriki zoezi la wizi wa kura ama kupiga watanzania katika harakati zao kutafuta mabadiliko kwa amani kabisa, apate mapigo na asisimame tena"
Amen. Amen. Amen.
Ndio. Sehemu zote ushindi umepatikana kwa kulinda kura.
mita 200 !???...........ulofaa mzigo !
Ni vile tu maneno hayamezeki. Ungelimeza hiliKubenea ameshakarishwa habari za interior
Kubenea ameshakarishwa habari za interior
Amwambie pia ZZK anaishukuru CCM kwa support kubwa iliyomfanya ashine kigoma mjini.Aliekaribu na Saed Kubenea anisaide kumjulisha kuwa yule "Msaliti" Zitto kabwe tayari ni Mbunge na Pia kapata Madiwani wengi wa kuweza kuongoza Halmashauri.
This is silly; hiyo ndiyo sheria inavyotaka jamani. Mbona hili tumelisema muda mrefu.
na roho mbaya yako Kubenea kashatangazwa mshindi,mfikishie slaa habariThis is silly; hiyo ndiyo sheria inavyotaka jamani. Mbona hili tumelisema muda mrefu.