Saed Kubenea: Wanataka kutangaza matokeo ya Urais kwanza

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
4,224
2,000
Aliekaribu na Saed Kubenea anisaide kumjulisha kuwa yule "Msaliti" Zitto kabwe tayari ni Mbunge na Pia kapata Madiwani wengi wa kuweza kuongoza Halmashauri.

mbona Zito amelikimbia jimbo lake la Kigoma Kaskazini?
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,833
2,000
Na kusema kweli mimi macho yangu yalikua kwenye chaguzi za ubunge kuliko urais. Ukawa wakiongezeka pale ule ujuha wa ndiyooooooo utadhibitiwa.

Lowassa akapumzike sasa tunamshukuru sana kwa uamuz wake wa kihistoria utakaosaidia kupunguza akina Asumpta mshana.
 
mbeziboy

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
1,497

Ni kweli. Lowassa ana nafasi yake kwenye historia ya siasa ya Tanzania. Hawezi kusahaulika. Magufuli akikutana na bunge mahiri..nadhani nchi itaenda vizuri.
 
Billy the Goat

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
560
500
Na kusema kweli mimi macho yangu yalikua kwenye chaguzi za ubunge kuliko urais. Ukawa wakiongezeka pale ule ujuha wa ndiyooooooo utadhibitiwa.

Na mabadiliko mlitakiwa muanzie hapo sio Urais. Mliingia chaka sana tukaona ngoja tuwaache mana wanasema usimwamshe alielala utalala wewe
 
mbeziboy

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
1,497
2,000
Na mabadiliko mlitakiwa muanzie hapo sio Urais. Mliingia chaka sana tukaona ngoja tuwaache mana wanasema usimwamshe alielala utalala wewe

Binafsi urais haunisumbui...ashinde magufuli ashinde lowassa kwangu poa tu. Tukiweza kuongeza idadi yetu bungeni..mabadiliko yatakua yamepatikana. Maana bunge lina influence kubwa sana kwenye undeshaji wa nchi hata kuliko urais.
 
Billy the Goat

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
560
500
Binafsi urais haunisumbui...ashinde magufuli ashinde lowassa kwangu poa tu. Tukiweza kuongeza idadi yetu bungeni..mabadiliko yatakua yamepatikana. Maana bunge lina influence kubwa sana kwenye undeshaji wa nchi hata kuliko urais.

Umenena vyema.
Ila mjue Ng'ombe ndo anakuja dimbwini kunywa maji, acha vyura waendelee kupiga kelele. Mtatukuta na sisi huko huko bungeni na viti kemkem halafu tupambane kuendeleza Tanzania yetu.
 
mbeziboy

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
1,497
2,000
Umenena vyema.
Ila mjue Ng'ombe ndo anakuja dimbwini kunywa maji, acha vyura waendelee kupiga kelele. Mtatukuta na sisi huko huko bungeni na viti kemkem halafu tupambane kuendeleza Tanzania yetu.

Ewaaah. Na kwa vyovyote kama utakua mkweli..utakiri kwamba uchaguzi huu umekua fundisho kwenu. CCM itakayoenda bungeni sidhani itakua ni ile ya miaka ya nyuma.
 
Billy the Goat

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
560
500
Ewaaah. Na kwa vyovyote kama utakua mkweli..utakiri kwamba uchaguzi huu umekua fundisho kwenu. CCM itakayoenda bungeni sidhani itakua ni ile ya miaka ya nyuma.

Kweli kabisa mkuu. This time kila mtanzania has to sit down and enjoy the ride!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom