Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

Umelonga, tatizo ni kwamba majority ya waandishi ni WANANUNULIWA & WANANUNULIKA kirahisi
 
Tatizo hata vyuo vyetu havifundishi uzalendo na maadili bali wana fundisha uandishi na upigaji picha na usemaji semaji kwenye luninga na radioni basi.
Kwa Tanzania uzalendo unatoka damuni mwa mtu kwahiyo Huyo kubenea ni jasiri wa kuzaliwa wala sio wa kusomea hakuna elimu hiyo Tanzania.
 
Tatizo ni kwamba They are IGNORANT.

They real Dont Know The Significance of their stupid Game to the Nation.

Siwatofautishi na wanaokataa kwa makusudi kupiga kura wakiamini wanakikomoa chama cha Mafisadi.

Ujinga na Wingu la NJAA limetawala.
 
It's no matter of colleges,ni patriotism n conscience ya mtu. kwan tumeona wangapi wanaosaliti taaluma kwa kununuliwa?
 
Tatizo hata vyuo vyetu havifundishi uzalendo na maadili bali wana fundisha uandishi na upigaji picha na usemaji semaji kwenye luninga na radioni basi.
Kwa Tanzania uzalendo unatoka damuni mwa mtu kwahiyo Huyo kubenea ni jasiri wa kuzaliwa wala sio wa kusomea hakuna elimu hiyo Tanzania.

Tatizo siyo vyuo kufundisha maadili bali waandishi kuweka mbele njaa njaa zao.maadili yanaanzia ktk ngazi ya familia.kama ulizaliwa mwizi utaenedelea kuwa mwizi na kama ulizaliwa shujaa utabaki shujaa.
 
Kubenea has never seen the inside of a journalism college, anatumia ujasiri tu. Lakini kingine ni kwamba gazeti analoandikia analimiliki yeye mwenyewe, tofauti na magazeti mengine ambayo wamiliki wake wanaminya editorial independence. Nawafahamu waandishi wa habari jasiri wengi tu lakini wapo kwenye vyombo vya habari ambavyo vina policies zinazowazuia kuonyesha ujasiri wao.
 
Thats damn right, we went in different colleges!

But the issue of colleges doesnt hold water.What i can say is that most journalists lack patriotism.they are money mongers and they embrace any kind of grand corruption.we have many evidences of journalists being brought before the court for seducind corruption.ethics starts from where you were nurtured but not from any colleges.if you have born a bogus you will continue to be a bogus.
 
Namuona kama vile anahongwa au anatumika na kikundi fulani kwa ajili ya maandalizi 2015?

bado sijaona uandishi pale (umbeya mwingi_
 
But the issue of colleges doesnt hold water.What i can say is that most journalists lack patriotism.they are money mongers and they embrace any kind of grand corruption.we have many evidences of journalists being brought before the court for seducind corruption.ethics starts from where you were nurtured but not from any colleges.if you have born a bogus you will continue to be a bogus.

Mkubwa Katitu naomba nikueleze jambo na wenzako

Si kweli kwamba waandishi wengi au wote nchini Tanzania si wazalendo au wanajihusisha na vitendo vya rushwa ili waandike baadhi ya habari ,HAPANA.

Tatizo kwa tanzania ni mfumo ulivyo ambao mara nyingi kama siyo zote huwezi kuwalinganisha na waandishi wa mataifa ya nje hata jirani zetu Kenya.

Ukweli ulio wazi ni kuwa waandishi wa tanzania wanafanya kazi hiyo kama njia ya kujiiingizias kipato badala ya kazi nyingine katika journalism.

Ukitazama mara nyingi vyombo vinavyofanya vema kwa tanzania vinaendeshwa na waandishi wenyeewe au wahariri wako huru kiutendaji.Mambo ya uchunguzi wa mambo makubwa ya kiufisadi au jambo fulani yanategemea hata mwandishi wenyewe yukoje kiuchumi nk,uhakika wa ajira yake,utegemezi nk.

Hakuna mwandishi au mtu yeyote kama wewe unayetumia jina la kificho kuamua kufichua mambo kwa madai kuwa taaluma yako inaruhusu huku nyuma ukiwa huna uhakika na msingi wa kazi yako.

Waandishi wa kimataifa mathalani wanafanyw kazi wakiwa katika bima nk,siyo ya hapa bongo ya kwenda kisutu kushuhudia chenge akiamuliwa kulipa faini ya sh laki saba na kuchapisha gazetini.

Kwa sasa hivi waandishi watalaumiwa sana lakini hali halisi hairuhusu labda wenye magazeti yao binafsi wakiamua kuchana na unazi tajwa

Ngoja nipumue kidogo

Byabato
 
Thats damn right, we went in different colleges!

Nitafarijika sana kama wewe ni genuine Saed kubenea wa Hali Halisi publication, lakini kama sio wewe, nadhani si haki na utakuwa haumtendei haki kubenea mwenyewe original, pls kama sio wewe kubenea wa mwanahalisi pls badili ID. na naomba kupitia bandiko hili iwe ni taarifa kwa MODS pls confirm this account.
 
Kubenea has never seen the inside of a journalism college, anatumia ujasiri tu. Lakini kingine ni kwamba gazeti analoandikia analimiliki yeye mwenyewe, tofauti na magazeti mengine ambayo wamiliki wake wanaminya editorial independence. Nawafahamu waandishi wa habari jasiri wengi tu lakini wapo kwenye vyombo vya habari ambavyo vina policies zinazowazuia kuonyesha ujasiri wao.

kwa nini wasijiuzulu/kuacha kazi??hayo ndo mambo ya hosea..jk ananikwamisha halafu unang'ang'ania kubaki huko!hivi kweli utajiita mzalendo halafu unafanya kazi ya uhandishi kwny magazeti kama rai,habari leo,uhuru,mtanzani...no u ian't
 
Back
Top Bottom