LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
Kwa sasa chadema watajiunga watu wengi sana, hasa baada ya upande ule wa Kambi ya mbowe kukimbia chama...Anton komu ameshajiunga rasmi chademaSaed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.