Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

Unapata wapi ujasiri wa kumweka Mnyika kwenye orodha kama hiyo!
Sasa huko CHADEMA mbali ya Tundu Lissu, John Heche utamwamini nani kama unamtilia mashaka Mnyika.
Wewe unadhani kubaki kama Katibu Mkuu wa chama ilikuwa uteuzi wa kubahatisha?
Mnyika ni mwanafunzi mtiifu wa Dr Slaa wala sio Mbowe,sidhani kama Mnyika atasepa
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Huyu kaishiwa na ni changudoa wa kisiasa kama kabwa zitto
 
Kwani Saed anarud CDM akitokea wapi?

He was CDM all along, alipoona tonge linaenda kwa Boni yai akaenda ACT..

Hamuwajui wanasiasa vizur
Wala si mwanasisa bali msanii uchwara tena mbumbumbu wa kawaida mchumia tumbo
 
Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama

Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!

Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama

Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia
Huwa kwenye Siasa wanasema hakuna adui wa kudumu,kama Wilbroad Slaa pamoja na kuandika kitabu kukikashifu chama amerudishwa,na kwa Siasa zetu za njaa fc kukosa mamluki ni ngumu sana
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Ukichimama nchale ukikaa nchale
 
Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama

Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!

Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama

Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia

Wite wanaojikana nafsi wakaribishwe.

Tusiwe na maadui wala marafiki wa kudumu bali agenda.
 
Back
Top Bottom