Tuendelee
Kama tukirejea kwenye maandiko ya Biblia tunaona makasiriko ya Mungu pale Kaini alipomtolea Mungu malimbuko yasiyo bora
Sadaka hai ni zipi?
Bila kujali unamtolea nani na unatoa wapi.. Ili sadaka yako ipate chaji ya kiroho na ilete uhai na matunda tarajiwa
.Itoe mahali sahihi
.itoe kwa usahihi
.Hakikisha haina mawaa
.Hakikisha unaitoa kwa moyo mmoja, bila kushurutishwa, bila kutishwa na bila kupangiwa
Kuna makundi ya sadaka mbalimbali kwa sababu mbali mbali
Sadaka za kila wakati
Sadaka za vipindi maalum
Sadaka za mahitaji maalum
Sadaka za shukrani
Sadaka za malimbuko sahihi
Mababu wa mababu zetu walitoa sana sadaka kulingana na mahitaji mbali mbali
Sadaka za kuomba mvuta (ibada za matambiko)
Sadaka za matendo ya fanaka
Sadaka za kuomba mabaa mbali mbali yaondoke
Sadaka za kinga
Sadaka za upatanishi ni
Kwakuwa sadaka ni tenda la kiimani na la kiroho hivyo hutolewa madhabahuni kupitia ibada rasmi
Bila ibada bila uwepo wako sadaka yako haina maana yoyote
Zamani za babu wa babu zetu madhabahu zilikuwa kwenye miti mikubwa, majabali makubwa ama mahali rasmi palipoandaliwa kama ni msituni pembeni ya mto nk
Siku hizi tuna vilinge na nyumba rasmi za ibada zenye mahali rasmi pa madhabahu na vyombo rasmi vya sadaka!
Je ukubwa na udogo wa sadaka vinaweza kuathiri matokeo?
Jibu ni ndio.. Kutoa kikubwa haimaanishi utabarikiwa sana kwakuwa unatoa kikubwa kwenye nini?
Zaidi soma
Unapoenda kwa mganga wa kienyeji unaenda kutengeneza maagano Ukifika pale lazima yatatokea haya 1. Atavaa mavazi rasmi ya kazi (inaitwa kuvaa miongozo) 2. Mtakuwa kwenye chumba chenye madhabahu inayoendana na shughuli zake(kilinge) 3. Utajieleza ama atakueleza matatizo yako! 4. Utatoa pesa...
Naweka pozi kidogo