Sad News

Sad News

Sasa walioharibu utaratibu ni udsm kwel Bila kupepesa macho nao wana kiwango cha idad ya watu na Bado udsm ina dahili sa je ikatokea mwenye uhtahtaji watampa nn.. Kumbe bas Majina yangetoka mapema hakika sintofaham isingekuepo
Nao hao watumish wana wakat mgumu.. Udsm Ndio chanzo we c utaona wanafnz weng watakao pata mkopo itakuwa ni udsm
Kwann iwe udsm mkuu, afuu sikwelewi unapodema ud ndo chanzo.
 
Soma taarifa ya heslb Mkuu. Wanatoa 3rd batch kesho.. Pia the Same day udsm ndo wanafungua.. Mfano wangefungua mapema kwa Mujib Wa kalender zao hata loan board wangejua Kiwango Hali's cha wanafnz waliodahiliwa.. Sa huwez toa mkopo kwa waliopo vyuon wakat Bado Kuna wengne wanaomba.. Hapo Mzee ni takwim tu.. Ambaye kachelewesha ni udsm..
Kwann iwe udsm mkuu, afuu sikwelewi unapodema ud ndo chanzo.
 
Mambo yanayofanyika nchi hii ukiwaza sana utakuwa depressed. Enzi elimu inaendeshwa na waliokuwa wanajitambua watu tulikuwa encouraged kufanya kazi at least two years kabla hujarudi masomoni kwa ngazi ya juu (mfano ukihitimu certificate unakuwa attached mahali ili upate practical experience for two years before being enrolled for diploma course).

Kama hii habari ni ya kweli basi ina maana hawatakiwi watu wanaotaka ku-upgrade qualifications zao! Ukisikia uzoba ndio huu!
Azimio la Musoma ninalikumbuka
 
Soma taarifa ya heslb Mkuu. Wanatoa 3rd batch kesho.. Pia the Same day udsm ndo wanafungua.. Mfano wangefungua mapema kwa Mujib Wa kalender zao hata loan board wangejua Kiwango Hali's cha wanafnz waliodahiliwa.. Sa huwez toa mkopo kwa waliopo vyuon wakat Bado Kuna wengne wanaomba.. Hapo Mzee ni takwim tu.. Ambaye kachelewesha ni udsm..
Nimekupata mkuu
 
Loan Board baada ya kutoa ile list ya waliofanikiwa kupata mkopo. Wakaweka tena vigezo vingine kwenye allocation. Kwenye kuallocate wanasema wameweka kigezo cha unatakiwa elimu yako ya sasa iwe si zaidi ya miaka mitatu tangu umalize. So watu ambao majina Yao yalitoka batch one na wako nje ya kigezo hicho hawana loan.
Source ya taarifa hii ni mazungumzo yangu na mmoja wa customer care wa heslb jioni hii
Aseeeh
 
Duuh poleniii..hata kwa yatima wana apply hii kitu kweli?
 
Inamaamisha ata first year waliomaliza mwaka huu, kama wanaenda kusoma ualimu wa sanaa (arts) mkopo hawapati according to maelezo kwenye vigezo. Tobaaaaa
 
Kama mnachukua Wa China ili wapewa contact ya ujenz Wa barabara sasa kwann usiwape vijana mkopo.. Wakimalza chuo peleka site timua wachina.. Daah kwel alyenacho daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom