Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Loan Board baada ya kutoa ile list ya waliofanikiwa kupata mkopo. Wakaweka tena vigezo vingine kwenye allocation. Kwenye kuallocate wanasema wameweka kigezo cha unatakiwa elimu yako ya sasa iwe si zaidi ya miaka mitatu tangu umalize. So watu ambao majina Yao yalitoka batch one na wako nje ya kigezo hicho hawana loan.
Source ya taarifa hii ni mazungumzo yangu na mmoja wa customer care wa heslb jioni hii
Source ya taarifa hii ni mazungumzo yangu na mmoja wa customer care wa heslb jioni hii