Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026.

Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa penati, huku Simba SC ikifunga kupitia wachezaji wake Kibu Denis, Jean Ahoua, na Jonathan Sowah.

Mchezo huo ulikuwa ni fursa kwa timu ya Simba kujaribu mikakati na wachezaji kabla ya kuanza kwa msimu rasmi Septemba 16,2025.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa ENPPI wamethibitisha kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Simba na kushinda bao 4-3
1755506989734.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom