Sad moment in my life ever

Poleni sana..dunia tunapita.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pole Mkuu,Mungu akupe Faraja na Uvumilivu...
 
pole sana mkuu Mungu akutie nguvu kwenye hiki kipindi kigumu
 
Nashukuru I Sana kwa wote mlionitumia Salamu za Pole.
 
Pole.

Kila mtu ana njia yake ya kuondoka hapa duniani.

Yote ni kumshukuru Mungu.

Kigoma wapo watu wa Mungu watampumzisha tu vizuri, iombee tu Roho ya Baba ipumzike vizuri.
 
Pole sana ndugu.

Tunasali Mungu akutie nguvu na kukufariji katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yako mpendwa ndugu Muhofu
 
Pole mno mkuu katika kipindi hiki kigumu, kufiwa na mzazi ni kitu cha kuhuzunisha mno,hope's Mwenyezi Mungu atakupa wepesi na Baraka zake ili uwahi mazishi, it's sad just under 1000km,mtu unatumia masaa 72 kufika,mwendo uliotakiwa utumie just 11hrs, ila hapa la muhimu ni msiba na tuwe na matumaini utawahi mazishi mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…