[emoji38]fika kijitonyama, jichanganye kwenye vijiwe vya around mabatini area, utapata full profile na mengineo mengi ya kumuhusu huyo mtuhumiwa wako
poleSitamsahau huyu dada alivyomtapeli mke wangu. Tulimuagiza mzigo wa 7M china lkn alichotuletea.....!!!!! Kiukweli pamoja na kuwa kwa nje anaonekana mcha Mungu lkn si muaminifu. Kwake pesa mbele..utu baadae.
Naona umeamua kufukua makaburi [emoji23][emoji23]pole
Lkn pamoja na yote namkubali, ni mpambanaji sana. Ni mfano bora kwa wanawake wengine wanaosubiri kuwezeshwa.pole
[emoji23]Naona umeamua kufukua makaburi [emoji23][emoji23]
Personally nimefanya naye kazi tatu za kitchen cabinets hakunipa tatizo sijajua nimebahatika au vipi maana angenipiga ngekufa kwa presha zilikuwa kazi za watuMwanamke tapeli...mbabaishaji sana
Mjini Kugumu Acha Tuache Udangaji Tuuze Mitumba,furniture Na Umri Nao Unaenda Ikizingatiwa Tuliolewa Jumatatu Tukaachika Ijumb
Mh!! Unamaanisha ni mdangaji mstaafu?Mjini Kugumu Acha Tuache Udangaji Tuuze Mitumba,furniture Na Umri Nao Unaenda Ikizingatiwa Tuliolewa Jumatatu Tukaachika Ijumb
Uzalendo umemshindaNaona umeamua kufukua makaburi [emoji23][emoji23]
Halafu ni mdogo sana sachko km sikosei this year ndo anafika 30Yule dada muache kabisa ni mpambanaji, kumbuka pia anatengeneza furniture ana kampuni ya kuandaa na kupamba kwenye events.
Kwa sasa ukiachilia mbali kuwa anauza mitumba pia anaagiza containers za mitumba na kuuza mabaro kwa wafanya biashara.
She is a really hustler personally uwa ana niinspire kwa kufanya kile wengi wanachofanya lakini kwa kukiboresha hata furnitures zake za ukweli sana na alienda china mwaka jana akanunua mashine za maana za kutengenezea hizo furnitures.
Her dream ni kuja kumiliki mall ambalo litakuwa na flow tatu kila flow ikiwa na biashara yake moja kati ya hizo nilizotaja
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mh!! Unamaanisha ni mdangaji mstaafu?
Ongezea nyama kidogo mkuu.