Sabuni ya maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabuni ya maji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MONTEGO, Mar 5, 2012.

 1. MONTEGO

  MONTEGO Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu wajasiriamali na wa JF nipo maeneo ambayo hizi sabuni za maji hakuna sasa na mimi siwezi kuzitengeneza kama kuna mtu mwenye ujuzi huo anisaidie namba zangu ni 0787027214 au tuelekezane hapa kwenye mtandao wetu.
  akhsanteni
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,135
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Simple,
  Loweka kwenye maji Mbunju au Mshindi itageuka kua Sabuni ya Maji!!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  duh!
  .
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nenda veta ukapate mafunzo.
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hongera kwa wazo lako. Pitia thread hii UTENGENEZAJI WA SABUNI, ina kila kitu unachotaka, pamoja na contacts
   
Loading...