Sabuni mpyaaa

Sabuni mpyaaa

Joined
Jun 26, 2011
Posts
13
Reaction score
2
Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye choo cha shimo. Huku akioga akawa anaimba 'ogesha, ogeshaaaaaaaa, ogeshaaaa' mpaka mwili mzima ukawa na mapovu. Ghafla sabuni ikadondoka akaiokota akaendelea kujipaka sabuni na kuendelea kuimba ogeshaaa kwa sauti ya juu ili majirani wamsikie anatumia sabuni ya matawi ya juu. Ghafla jamaa akaanza kutukana, kumbe sabuni ilipodondoka aliokota kimba(mavi) akaendelea kujipaka. Akaanza kusema sabuni ya ogesha kwa juu tu ndo sabuni ndani ni ushuzi tuuuu! Aha TANESCO HAOOOOO
 
Dah, hapo simo. Sicheki wala sinuni nipo moderate.
 
Jamaa yuko kizamani zaidi anannua sabuni anakosa hela ya mshumaa!!amakweli OGESHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom