Saboofer na deck vinahitajika

Saboofer na deck vinahitajika

JESONS

Member
Joined
Aug 28, 2021
Posts
72
Reaction score
33
Habari wandugu

Mdogo wenu ndio kwanza naanza maisha ya gheto kwa mwenye vifaa tajwa hapo juu anijuze tafadhali haijalishi imetumika kwa mda gani madam iwe nzima napatikana Dar kwa mwenye navyo nicheki imbox
 
Back
Top Bottom