***akibadili kwenye dola si anauza shilingi ananunua dola nadhani itakuwa imerudi kwenye mzrunguko akili yangu inawaza hivyo... sababu wanao ficha hawataki kuonekana wanapesa,.. ila ngoja wachumi waje
Halafu dollar tunapeleka nje unaachwa na madafu yako hapa.Elewa kwamba ukishabadili kuwa dola, hiyo pesa ya kibongo itakuwa kwenye mzunguko tayari.
Wakati wananchi wakilia ukata mifukoni kwa madai fedha zimetoweka kwenye mzunguko, mfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo (73), amemshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha ili kubana wafanyabiashara wakwepa kodi na kuficha fedha majumbani
Aidha, amesema kutokana na utendaji wa Rais, huoni sababu za vyama vya upinzani kuendelea kumpinga, na badala yake waache siasa na waungane naye kujenga Tanzania mpya
Kauli ya mfanyabiashara huyo iliungwa mkono na wachumi waliozungumza na gazeti hili kubainisha kuwa njia nzuri zaidi ni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupunguza masharti kwa benki, hasa viwango vya riba, ili riba kwenye benki iwe kubwa jambo ambalo litafanya watu wakiweka fedha benki wapate faida
Sabodo alitoa ushauri huo jana alipozungumza na JAMBO LEO katika mahojiano maalum nyumbani kwake Dar es salaam, ambapo alisema licha ya hatua nzuri za Serikali ya Rais Magufuli kiuchumi na kwenye mapambano dhidi ya rushwa, ubadhirifu na ufisadi, wapo walioficha mabilioni ya fedha nyumbani badala ya benki ili kukwepa kodi
"Rais anafanya kazi nzuri, lakini ni wengi waliofikwa fedha nyumbani, watanzania wanakufa njaa, wengine wameficha fedha
Hapo nashauri Rais abadilishe fedha hasa noti za Sh 5,000 na 10,000 hatua hiyo itasaidia kubadili ubadhirifu unaofanywa na watu wenye nia mbaya, lakini pia inaweza kuokoa uchumi na kufikia ndoto ya kuwa na Tanzania mpya," alisema Sabodo
Aliongeza:"Kwa maoni yangu, hatua hiyo ya kubadilisha fedha ichukue kati ya mwezi mmoja na nusu, watabainika wengi waliofikwa fedha nyumbani na hali ya uchumi itabadilika".
Alifanunua, Sabodo ambaye ni mzaliwa wa Lindi, alisema India Pakistan na Venezuela ziliwahi kukumbwa na hali kama ilivyo sasa nchini, lakini hatua ya kubadilisha noti ilizisaidia kuimarisha uchumi na bajeti zao
"Watu wanaiba fedha nyingi, wanaficha chini ya magodoro, ili kumaliza hali hiyo ni muhimu noti zikabadilishwa hali itakayomlazimisha kila aliyeficha fedha kuzitoa, hapo wapo watakaokimbia nchi". alisema Sabodo huku akitaja baadhi ya watakaokimbia hatua hiyo ikichukuliwa
Sabodo alitoa kauli hiyo wakati Rais Magufuli ameshatoa kauli kuwataka waliofikwa fedha majumbani kuziacha ziingie kwenye mzunguko huku akionya wasipofanya hivyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahala pa kuzipeleka
Rais Magufuli alitoa kauli hiyo Septemba kwenye mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi ambapo alisema watu hao wamekuwa na utaratibu wa kutoa fedha zao benki na kuzificha kwa kuogapa kuwa atabaini kiasi walichonacho.
Chanzo : JamboLeo
Sasa unataka kutuambia kwamba tz sip salama?Hao wahindi wote washapeleka hela zao Canada na UK.
Sasa nyie badilisheni mtapata mnachokitafuta.
Siku hizi watu wanaangalia sheria, kanuni na msimamo wa nchi yako ukoje then WAKIVUTIWA watakuja nchini kwako kuwekeza na kufanya mengineyo.
Lkn hii ya kulazimishana ktk dunia hii ya leo ni ngumu.
Kuna watu wanakwenda hapo Kenya tu kuhifadhi hela zao tena kwenye mabenki kwa sababu pale pako salama but not Tz.
***Itasaidia mana siyo wote wana akili ya kubadilisha katika dollars hivi kweli mkinga wa makambako anaweza waza abadili fedha katika dolla?
bank kuu wanajua hela zilipo na ndio wanaozipunguza na kuziongeza kila wakati. Watu baki kama akina sabodo piga kimya.Wanauchumi Tusaidiane. Ni kweli hatua hiyo ita work Kwa nchi na zama zetu.. Mambo mengine wataalam tuache wachangie
Anataka Kuona Kwanza Fedha Alizokuwa Anawapa Mmemwonesha Mmezifanyia Nini ?Huyu alitoa zile Pesa za kujenga Ofisi/Chuo alizoahidi Chadema?
watu wameficha fedha kwa dola, ninyi mnataka abadilishe fedha, atabadilisha dola, euro au pound starling? unafikiri mafisadi wajinga. wamebadili pesa kwenda kwenye dola iwe rahisi kuzimuvuzisha, wewe ukibadilisha pesa za kibongo watu watakucheka na kuona umekurupuka.
Wakati wananchi wakilia ukata mifukoni kwa madai fedha zimetoweka kwenye mzunguko, mfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo (73), amemshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha ili kubana wafanyabiashara wakwepa kodi na kuficha fedha majumbani
Aidha, amesema kutokana na utendaji wa Rais, huoni sababu za vyama vya upinzani kuendelea kumpinga, na badala yake waache siasa na waungane naye kujenga Tanzania mpya
Kauli ya mfanyabiashara huyo iliungwa mkono na wachumi waliozungumza na gazeti hili kubainisha kuwa njia nzuri zaidi ni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupunguza masharti kwa benki, hasa viwango vya riba, ili riba kwenye benki iwe kubwa jambo ambalo litafanya watu wakiweka fedha benki wapate faida
Sabodo alitoa ushauri huo jana alipozungumza na JAMBO LEO katika mahojiano maalum nyumbani kwake Dar es salaam, ambapo alisema licha ya hatua nzuri za Serikali ya Rais Magufuli kiuchumi na kwenye mapambano dhidi ya rushwa, ubadhirifu na ufisadi, wapo walioficha mabilioni ya fedha nyumbani badala ya benki ili kukwepa kodi
"Rais anafanya kazi nzuri, lakini ni wengi waliofikwa fedha nyumbani, watanzania wanakufa njaa, wengine wameficha fedha
Hapo nashauri Rais abadilishe fedha hasa noti za Sh 5,000 na 10,000 hatua hiyo itasaidia kubadili ubadhirifu unaofanywa na watu wenye nia mbaya, lakini pia inaweza kuokoa uchumi na kufikia ndoto ya kuwa na Tanzania mpya," alisema Sabodo
Aliongeza:"Kwa maoni yangu, hatua hiyo ya kubadilisha fedha ichukue kati ya mwezi mmoja na nusu, watabainika wengi waliofikwa fedha nyumbani na hali ya uchumi itabadilika".
Alifanunua, Sabodo ambaye ni mzaliwa wa Lindi, alisema India Pakistan na Venezuela ziliwahi kukumbwa na hali kama ilivyo sasa nchini, lakini hatua ya kubadilisha noti ilizisaidia kuimarisha uchumi na bajeti zao
"Watu wanaiba fedha nyingi, wanaficha chini ya magodoro, ili kumaliza hali hiyo ni muhimu noti zikabadilishwa hali itakayomlazimisha kila aliyeficha fedha kuzitoa, hapo wapo watakaokimbia nchi". alisema Sabodo huku akitaja baadhi ya watakaokimbia hatua hiyo ikichukuliwa
Sabodo alitoa kauli hiyo wakati Rais Magufuli ameshatoa kauli kuwataka waliofikwa fedha majumbani kuziacha ziingie kwenye mzunguko huku akionya wasipofanya hivyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahala pa kuzipeleka
Rais Magufuli alitoa kauli hiyo Septemba kwenye mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi ambapo alisema watu hao wamekuwa na utaratibu wa kutoa fedha zao benki na kuzificha kwa kuogapa kuwa atabaini kiasi walichonacho.
Chanzo: JamboLeo
Huu ndio ukweli lakini nyumbu zitakuja kupinga