Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.
Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara miaAmen.
Makamba sijui hapo atasema nini.
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.
Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara mia…Amen.
Achana na huyo Mpemba...Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.
Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.
Wapemba wana wivu sana itikadi tu wanawekeana vinyesi kwenye visima.Abarikiwe zaidi mzee sabodo,