Sabodo aichangia CHADEMA mamilioni kujenga ofisi

kuna video flani hawa jamaa wanaojiita swahili remix nadhani ni kina vinega kikundi cha SUGU... "ndani ya album ya antivirus" kuna mstari sugu analaumu kila kitu bagachori.. tu! tunataka ngozi nyeusi ndiyo imiliki soko la uuzaji wa kazi za wasanii & blah blah kibaoo... kumbe maskini hajui wahindi hawahawa ndio wanakipiga tafu chama kilichompa ajira ...
kumbe unasikilizaga hizo makitu sio?!!
okey...didnt knoe that!:poa
 
Nikiona wanajenga ofisi mikoani napata moyo nikikumbuka Thomas Nyimbo naye kajenga ofisi kubwa ya chadema ya kisasa huko Njombe.
 
Huwa najiuliza sana bila kupata majibu. Pamoja na kuonekana kukipenda sana Chadema, mbona huyu mzee hahami Ccm?! Kwa nini anaendelea kufurahia kuitwa "kada wa Ccm"?

Mzee sio kila aliyeko ccm anafurahia uozo waufanyao. Wakati mwingine namna nzuri ya kumfundisha adabu ndugu yako ni kwa kumsapoti adui yake, lazima atajiuliza
 
hongera sabodo..
wp mengi?
wp bakhresa?
Wp dewji?
Wapi zakaria?
Wapi manji?

mengi anachangia kwa siri na ana kadi ya chadema sema cz ni mnafki anaogopa kupgwa ftna na ccm hao wengne ccm damu
 
Huwa najiuliza sana bila kupata majibu. Pamoja na kuonekana kukipenda sana Chadema, mbona huyu mzee hahami Ccm?! Kwa nini anaendelea kufurahia kuitwa "kada wa Ccm"?

Mkuu umesahau usemi. USIWEKE MAYAI YOTE KWENYE KAPU MOJA? MIMI NAONA ANAJILINDA ZAIDI KWA MFUMO WOWOTE UJAO. ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKUMALIZA.... NA WAKUNGA HAWATUKANWI WAKATI UZAZI UNGALIPO.
 
Kada wa chama cha Mapinduzi Mustafa Sabodo ametoa sh milioni 30 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya chadema katika jimbo la Mbogwe wilaya ya Kibondo Kigoma.Sabodo amekabidhi fedha hizo jana kwa Kada wa Chadema Arcado Ntagazwa mbele ya Katibu mkuu Dr Wilbrod Slaa.Sabodo amesema ametoa fedha hizo kukiunga mkono chama hicho katika jitihada zake za kutetea wanyonge,pia Sabodo ameahidi kuendelea kukisaidia chama hicho kila itakapohitajika. Source Tanzania Daima.
kweli sabodo ni mtanzania anayependa mabadiliko tatizo ukifuatilia hizo pesa utaambiwa 15% inakwenda makao makuu, 20% matumizi, 15% kwa Dr Slaa, 50% kujenga office, njaa zitatuuwa watanzania.
 
makao makuu ya CDM inakopanga!
IMG_3091.JPG
 
Back
Top Bottom