Sabodo aichangia CHADEMA mamilioni kujenga ofisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabodo aichangia CHADEMA mamilioni kujenga ofisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Nov 20, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kada wa chama cha Mapinduzi Mustafa Sabodo ametoa sh milioni 30 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya chadema katika jimbo la Mbogwe wilaya ya Kibondo Kigoma.Sabodo amekabidhi fedha hizo jana kwa Kada wa Chadema Arcado Ntagazwa mbele ya Katibu mkuu Dr Wilbrod Slaa.Sabodo amesema ametoa fedha hizo kukiunga mkono chama hicho katika jitihada zake za kutetea wanyonge,pia Sabodo ameahidi kuendelea kukisaidia chama hicho kila itakapohitajika. Source Tanzania Daima.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Sawa sawa
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sabodo amesoma alama za nyakati, amegundua chadema ndio chama tawala, chama cha wakulima na wafanyakazi, hana budi kukisupport.
   
 4. Meking

  Meking JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huwa najiuliza sana bila kupata majibu. Pamoja na kuonekana kukipenda sana Chadema, mbona huyu mzee hahami Ccm?! Kwa nini anaendelea kufurahia kuitwa "kada wa Ccm"?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Ipo siku yake watamtolea uvivu hao magamba!!atashangaa watampora uraia kuwa ni mchochezi!!siku zake zahesabiwa tu tunavyowajua wazee wa zengwe na visasi stay tune
   
 6. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mzee yuko ccm kiwiliwili tu lakini moyo wake wote uko chadema mimi nabinafsi nafurahishwa sana na techninis zake anazozitumai vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sabodo mlezi wa chadema
   
 7. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  huenda huyu mzee anafanya biashara za kwa usafi sana.Maana ujasiri kama huu unahitaji usafi
   
 8. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Jimbo la mbogwe, kibondo. Hapana mkuu hebu soma vzuri source yako kibondo kuna majimbo mawili tu, mhambwe na buyungu.
   
 9. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  ninamkubali sana mzee big up, keep doing what you do ulipotoa kiongezeke,
   
 10. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Magamba hawana uwezo wa kumfanya chochote sabodo,..sababu kuu ni kuwa investment zake nyingi ziko nje ya nchi,india huko na kwingineko,..labda angekuwa bakhresa
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  imekaa njema, siku tukitaka kuwatimua wahindi, sabodo na shivji wabaki nnchin, lakini Lowasa na Rostamu Aziz waende kwao, wanatugharimu
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuna wale Republican walomuunga mkono Obama openly kwa manufaa ya USA na si kuhama Chama hizo siasa za zamani .What matter na kile afanyacho kaka .Meaning Tanzania kwanza CCM baadaye .Mwache akae huko huko
   
 13. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 3,590
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Hiyo lakini ni strategy nzuri ya kuitesa CCM. Kwa matendo Sabodo ni CHADEMA, kinadharia ni CCM. Sabodo anapeleka ujumbe wa demokrasia, na anataka kuwaambia CCM na watu wengine kuwa hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kumzuia au kumlazimisha mtu akichangie chama gani.
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  ilivyoripotiwa kwenye habari ni jimbo jipya.Hata mwananchi wameripoti kwa picha uk 4
   
 15. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Itakuwa Mhambwe mkuu,ndo jimbo ambalo Ntagazwa aligombea kupitia cdm. Hope ni mistake.
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Hongera Sabodo..
  wp Mengi?
  wp Bakhresa?
  wp Dewji?
  wapi Zakaria?
  Wapi Manji?
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  kuna video flani hawa jamaa wanaojiita swahili remix nadhani ni kina vinega kikundi cha SUGU... "ndani ya album ya antivirus" kuna mstari sugu analaumu kila kitu bagachori.. tu! tunataka ngozi nyeusi ndiyo imiliki soko la uuzaji wa kazi za wasanii & blah blah kibaoo... kumbe maskini hajui wahindi hawahawa ndio wanakipiga tafu chama kilichompa ajira ...
   
 18. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Richard Ndasa, Mwigulu mchemba, na wengine wa ccm leo sijui mtasema Sabodo anafadhili cdm ili alipwe nini? Mmezoea kusema cdm inafadhiliwa na ujerumani. Shame on u. You have forgotten that CCM is being sponsored by communist party of china in exchange of our coal and other natural resourses. Wanyamapori na pembe za ndovu mnawapelekea in exchange. Au mnataka ushaidi? Tumechoka na propaganda zenu dhidi ya chadema. Acheni chaedma wafanye kazi za siasa. CCM mlishapata pesa kutoka kodi za wananchi mkawekeza, na bado mnapata mgawo kutoka kila wizara kwa njia ambayo haijulikani. Acheni bwana!
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  tunamshukuru kada huyu wa ccm kwa kutuunga mkono.
   
 20. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbogwe ni jimbo lililopo shinyanga kama sikosei
   
Loading...