Ndio ni mwarabu,anafanana na mwarabu fighterYuko vizuri ni Mwarabu?
Kwa mujibu wake anasema ana maisha mazuri na vitega uchumi vinavyomfanya aishi maisha mazuri ana saloni mbil na maduka makubwa mawili moja lipo sinza lingine lipo kariakoo.Njaa mbaya sana
Vitega uchumi , lakini havikidhi njaa zake ndio maana anataka kuongeza kitega uchumi kingine kwa kuuza nyapu yakeKwa mujibu wake anasema ana maisha mazuri na vitega uchumi vinavyomfanya aishi maisha mazuri ana saloni mbil na maduka makubwa mawili moja lipo sinza lingine lipo kariakoo.
Asubiri covid 19 ipite.Ajue pia kuwa Diamond uswahili aliuacha Tandale sikuhizi anapenda uzungu.