Sabaya yuko kwenye operation maalum hamtamuweza

Sabaya yuko kwenye operation maalum hamtamuweza

Niwashauri tu yule dogo yupo operation maalum ya kudeal na Upinzani hapo alipo na aliposema yeye anaripoti juu yuko sahihi kwa hiyo hamtaweza kudeal nae na atawavuruga kisawa sawa !!!!!! So dogo inavoonekana amefaulu kwa kiasi kikubwa hadi sasa hivi.
Operesheni ambayo inahusisha rushwa😂 au kaongezea haya
 
Unaongea nini wewe?, Sabaya anaomba Rushwa kwa nguvu tens kwa kulitaja jina la Rais, hakuna Operation hapo umepotea njia. Huyo dogo tunamjua sana kwa utspeli,anajifichia kwenye koti la kukusanya kodi. Hivi shida ni Mbowe,Sababya au vitendo haramu vya rushwa?
Ni kama Makonda tuu, akiharibu mkipiga kelele sana anawaambia nitawasemea kwa Daddy
 
Niwashauri tu yule dogo yupo operation maalum ya kudeal na Upinzani hapo alipo na aliposema yeye anaripoti juu yuko sahihi kwa hiyo hamtaweza kudeal nae na atawavuruga kisawa sawa !!!!!! So dogo inavoonekana amefaulu kwa kiasi kikubwa hadi sasa hivi.
Tapeli sugu huyu kazi ni kuzunguka na matapeli wenzake wenye kesi lukuki police kma omary matelephoni na japhet
tapatalk_1564210016896.jpeg
 
Hata kuwageuza nyuma wanawake ni oparesheni maalumu?,kwani kisa cha Nandy kumkia ni nini kama si matendo yake machafu?
 
Rais ana nia njema kabisa kuwapa vijana nafasi kubwa za uongozi. Tatizo baadhi ya hawa vijana wanafanya upuuzi wa wazi na hivyo kuwafanya wazee wetu washindwe kuwaamini vijana
 
Back
Top Bottom