shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Fanya kama Zakayo, wale unaokumbuka wazi uliwakosea na kuwadhulumu kawaombe msamaha na kawalipe ulivyowadhulumu."Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya
Utapata msamaha wa kweli toka kwa Mungu na utakuwa umejiwekea hazina yako mbinguni.
Haitoshi tu kukimbilia madhabahu na kulia mbele za watu ilhal walioumizwa kwa mkono ama kinywa chako bado wanaendeiea kugugumia na kumlilia Mungu.
Kabla ya kutoa sadaka yako kapatane kwanza na mgomvi wako.