Huyu jamaa kuna watu wanataka wamalize hasira zao wanasubiria wakati sahihi"Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya
Nimewaza kama wewe nani alomkosea zaidi ya yeye kufanya madhira kwa watuDaah?! Hivi mtu anayeweza kumkosea mtu kama Ole Sabaya atakuwa mtu wa namna gani?! Kwa sababu ukatili na uhalifu aliotenda Ole Sabaya mwenyewe is beyond comparable, sasa huyo atakayemkosea si atakuwa zaidi ya shetani?
Njaa mbaya Sana. Imemtoa Sabaya. Pangoni."Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya
Ukuu wa Mkoa tu? Wampe hata eSasahivi atapewa ukuu wa mkoa
Kamuulize Mwenyekiti wa CCM Hilo swali. Yeye ndiye aliyemsimamisha ukuu wa Wilaya.Unaweza kutueleza ni ukatili gani aliufanya. Au wewe ni kati ya maboya wanaolishwa propaganda? Kwanza uko mkoa gani?
Na wewe ni miongoni mwao?Ulowabaka kwenda kuomba msamaha kwa waume zao kamwe hawatakuacha
Kachukua milioni 90 za mangi.....akidai ni zakeUnaweza kutueleza ni ukatili gani aliufanya. Au wewe ni kati ya maboya wanaolishwa propaganda? Kwanza uko mkoa gani?
Yule alitumika kuwafurahisha CDMKamuulize Mwenyekiti wa CCM Hilo swali. Yeye ndiye aliyemsimamisha ukuu wa Wilaya.
Si ndio wapinzani wetu mlivyo.Hii inaweza kuwa gia ya kwanza kuanza kuzisogelea teuzi, gia namba mbili uchawa unaenda kuanza rasmi, baada ya hapo....
" Taarifa iliyotolewa na ikulu, leo tarehe.... Rais wa JMT Mheshimiwa SSH, amemteua Ndugu Lengai O. Sabaya, kuwa... uteuzi huo utaanza mara baada ya kuapishwa".
Then after, tunaanza kutukana hapa JF wiki nzima, baada ya hapo wao wanadai kazi iendelee..
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Azirudishe sasaKachukua milioni 90 za mangi.....akidai ni zake
Makanisa mengine ni ya kitapeliNimeshangaa, halafu wanatumia makanisa kwenda kuongea Urojo wao
Kamwulize mama yako, anajua naishi Mkoa gani.Unaweza kutueleza ni ukatili gani aliufanya. Au wewe ni kati ya maboya wanaolishwa propaganda? Kwanza uko mkoa gani?
Waliouwa, kuwakata masikio na wengine kuwasababishia vilema vya kudumu atawarudishia. Kuna maisha nje ya siasa, leo Mbowe na Chadema ambao Sabaya hakutaka wafanye siasa bado wapo majukwaani."Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya
Kwamba unatesa watu, unabambikizia watu case unafungwa jela. Unahonga unatshinda case, unajificha kidogo, baadae unalinunua kanisa , unaenda mazabahuni kuomba msamaha kwa mungu = unateuliwa tena na kuwa kiongozi"Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya