SABAYA atinga mahakamani na Jezi ya YANGA

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
335
659
Kumbe watu wa kada mbali mbali ni WANANCHI ndomana tukaongoza kwa mapato
InShot_20210924_122520100.jpg
 
Sishangai kabisa mhuni kama huyu kuwa mwanauto. Ni mshamba, mnajisi madaraka na hana chembe ya ubinadamu, characteristics zote za utopolians 🤣🤣


Huyu Sabaya atakua amehongwa tu na Moo au Wallace Karia ili atuhujumu kuelekea mechi ya ngao ya jamii.

Yanga hatuna majambazi, majangili na wahujumu uchumi kama ilivyo upande wa pili. Kama kuna mbumbumbu anayebisha, aje hapa nimtajie orodha ya viongozi wahalifu kutoka upande wa pili.
Tulia dawa iingie
 
Sishangai kabisa mhuni kama huyu kuwa mwanauto. Ni mshamba, mnajisi madaraka na hana chembe ya ubinadamu, characteristics zote za utopolians



Tulia dawa iingie
Kuna waliojaribu kumpindua raisi wa nchi ikishindikana wapo Msimbazi huko, hapo hujaweka mamafia ya kutakatisha fedha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom