ndugu zangu wana jr kama kuna kazi za tempo sabasaba plz naomba kujuzwa aksanteni
Huyo Jr ndo nani pale sabasaba..!?
Kwani hao wanaJR wapo JF.......?
Kwani hao wanaJR wapo JF.......?
Wana junior.
Umebadili mwandiko unanichanginyi, afu ndo ulinitosa kwenda kunako muvie jana!?
Ha ha......muandiko wa mahaba huu......jana senema ilibadilika ikawa live.......mweeeee.....nilikomajeeeee.....
Katumia cm ya mchina, unabonyeza kitufe cha f inaandika r.
ulijuaje ndugu