Sababu zitazoifanya CCM kuibuka kidume Arumeru Mashariki!

Pamoja na upinzani unaonyeshwa na Chadema katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki; CCM itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 51-55; zipo sababu nyingi lakini hizi ndizo hasa zitazoipa CCM ushindi

1. Sera za CCM pamoja na kwamba serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya sera zake bado watanzania wana imani na chama chao na ukitilia maanani sera kubwa za wapinzani ni kuongelea ufisadi huku wakiacha kuelezea sera zao.

2. Busara za CC na NEC ya CCM kumpitisha mshindi wa kura za maoni ndugu Siyoi; pamoja na kuwa rushwa ilitawala vyombo vya juu vya CCM viliamua kulifumbia macho jambo hilo ili kuondoa mtafaruku; na kuleta umoja ndani ya chama

3. Katiba ya nchi bado inaipa nguvu chama tawala kushinda chaguzi; hapa hatuangalii tume huru lengo ni kushinda uchaguzi.

4. Kushindwa kwa vyama vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja; Chadema imeshindwa kuvishawishi vyama vingine vya upinzani kutosimamisha wagombea hii ni faraja kubwa kwa CCM; EVERY VOTE COUNT! Kinyang`anyiro hiki ni kikali CCM tayari inao mtaji wa kutosha tunahitaji msaada kidogo kutoka kwenye vyama vingine vya upinzani ambao tayri tumeshaupata.

Kwa kumalizia tu ndugu Siyoi andaa suti ya kuingia nayo mjengoni.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Simply not good enough
 
Mkuu Chama,
Mie nakubaliana na wewe kwenye namba 1 na namba 3 hivyo vigezo viwili tu vitaipa ushindi CCM Arumeru.
Kwa taarifa nilizonazo ccm wamepanga kushinda kwa njia yeyote Kama walivyofanya Igunga ndiyo maana wameleta Polisi wengi Arumeru.
 
Pamoja na upinzani unaonyeshwa na Chadema katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki; CCM itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 51-55; zipo sababu nyingi lakini hizi ndizo hasa zitazoipa CCM ushindi

1. Sera za CCM pamoja na kwamba serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya sera zake bado watanzania wana imani na chama chao na ukitilia maanani sera kubwa za wapinzani ni kuongelea ufisadi huku wakiacha kuelezea sera zao.

2. Busara za CC na NEC ya CCM kumpitisha mshindi wa kura za maoni ndugu Siyoi; pamoja na kuwa rushwa ilitawala vyombo vya juu vya CCM viliamua kulifumbia macho jambo hilo ili kuondoa mtafaruku; na kuleta umoja ndani ya chama

3. Katiba ya nchi bado inaipa nguvu chama tawala kushinda chaguzi; hapa hatuangalii tume huru lengo ni kushinda uchaguzi.

4. Kushindwa kwa vyama vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja; Chadema imeshindwa kuvishawishi vyama vingine vya upinzani kutosimamisha wagombea hii ni faraja kubwa kwa CCM; EVERY VOTE COUNT! Kinyang`anyiro hiki ni kikali CCM tayari inao mtaji wa kutosha tunahitaji msaada kidogo kutoka kwenye vyama vingine vya upinzani ambao tayri tumeshaupata.

Kwa kumalizia tu ndugu Siyoi andaa suti ya kuingia nayo mjengoni.

Chama
Gongo la Mboto DSM

CCM ni chama cha upinzani Arusha, hivyo inabidi kifanye mpango wa kuungana na vyama vingine kama kinataka kushinda. Ijulikane kuwa si kila mahali hapa Tanzania CCM ni chama tawala. Baadhi ya mikoa ambayo CCM si chama tawala ni Kigoma, Shinyanga, Mwanza, Mara, Kagera, Arusha, Manyara, Dar es salaam,.....

Kwa mantiki hiyo, CHADEMA hakihitaji kuungana na vyama vya upinzani ili kushinda. Vile vile CHADEMA kinaamini katika "natural growth" na sio "reinforced growth".
 
Unaelewa unachojaribu kutuambia? Bullet namba 3 sijaelewa kabisa una maanisha nn.
 
Asiyeuonai mwisho mbaya unaoikabili CCM hayuko tayari kuukubali ukweli daima.,lakini hiyo haibadili ukweli,ukweli kwamba CCM inakufa kwa kuwa imeshindwa kuibana serikali yake itimize ahadi ilizoahidi kabla na wakati wa uchaguzi...
 
Uko sahihi mkuu kwa asilimia 70 kwani sasa sera ya vyama vyetu vya upinzani ni ufisadi kitu ambacho naona kama ni dalili za vyama hivi kupoteza mwelekeo

duu, kwa hiyo bado unaamini adui wa maendeleo Tz ni magonjwa, ujinga na umaskini peke yake?
 
ushindi wa kishindo ni lazima tayari mzee wa ukweli na uwazi ataongoza jahazi arumeru hatutaki kelele subirini moto wa Mwigulu Nchemba aliye wamaliza kule igunga.
 
Unaelewa unachojaribu kutuambia? Bullet namba 3 sijaelewa kabisa una maanisha nn.

Inaamanisha katiba ilyotumika kwenye uchaguzi mkuu uliopita ndiyo hiyo hiyo itakayotumika Arumeru Mashariki, mapungufu yaleyale aliyolalamika Dr. Slaa bado yapo na ndiyo hayo yatayoipa CCM ushindi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
CCM ni chama cha upinzani Arusha, hivyo inabidi kifanye mpango wa kuungana na vyama vingine kama kinataka kushinda. Ijulikane kuwa si kila mahali hapa Tanzania CCM ni chama tawala. Baadhi ya mikoa ambayo CCM si chama tawala ni Kigoma, Shinyanga, Mwanza, Mara, Kagera, Arusha, Manyara, Dar es salaam,.....

Kwa mantiki hiyo, CHADEMA hakihitaji kuungana na vyama vya upinzani ili kushinda. Vile vile CHADEMA kinaamini katika "natural growth" na sio "reinforced growth".

Kukosekana kwa ushirikiano ndani ya vyama vya upinzani ndio sababu kubwa ya kushindwa kupatikana kwa ushindi dhidi ya CCM. Kumbuka nguvu za vyama vya upinzani ni za mpito tu. NCCR, CUF wote hawakuliona hilo matokeo yake vimebakia historia. Chadema nayo imejiingiza kwenye mtego huo huo ubinafsi ni sumu ya upinzani .

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kwa taarifa nilizonazo ccm wamepanga kushinda kwa njia yeyote Kama walivyofanya Igunga ndiyo maana wameleta Polisi wengi Arumeru.

Polisi wapo pale kusimamia usalama; ipo hatari kubwa ya kukosekana kwa amani kwani Chadema inaonekana haipo tayari kushindwa; lile ni jimbo letu wanaccm wala hatuna wasiwasi uchaguzi sisi tulishamaliza siku nyingi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
polisi wapo pale kusimamia usalama; ipo hatari kubwa ya kukosekana kwa amani kwani chadema inaonekana haipo tayari kushindwa; lile ni jimbo letu wanaccm wala hatuna wasiwasi uchaguzi sisi tulishamaliza siku nyingi.

Chama
gongo la mboto dsm
nipe histori fupi ya arumeru mashariki tangu vyama vingi vianze inaelekea hulijui vizuri....
 
ushindi wa kishindo ni lazima tayari mzee wa ukweli na uwazi ataongoza jahazi arumeru hatutaki kelele subirini moto wa mwigulu nchemba aliye wamaliza kule igunga.
unadhani arumeru atapata wake za watu wa kumvulia chupi kama alivyofanya kule igunga huku wata mkatakata mapanga...
 
nipe histori fupi ya arumeru mashariki tangu vyama vingi vianze inaelekea hulijui vizuri....

Hebu tupe yako ili tukujuze; mbunge aliyepita alikuwa ni Chadema vile?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Pamoja na upinzani unaonyeshwa na Chadema katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki; CCM itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 51-55; zipo sababu nyingi lakini hizi ndizo hasa zitazoipa CCM ushindi 1. Sera za CCM pamoja na kwamba serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya sera zake bado watanzania wana imani na chama chao na ukitilia maanani sera kubwa za wapinzani ni kuongelea ufisadi huku wakiacha kuelezea sera zao. 2. Busara za CC na NEC ya CCM kumpitisha mshindi wa kura za maoni ndugu Siyoi; pamoja na kuwa rushwa ilitawala vyombo vya juu vya CCM viliamua kulifumbia macho jambo hilo ili kuondoa mtafaruku; na kuleta umoja ndani ya chama 3. Katiba ya nchi bado inaipa nguvu chama tawala kushinda chaguzi; hapa hatuangalii tume huru lengo ni kushinda uchaguzi. 4. Kushindwa kwa vyama vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja; Chadema imeshindwa kuvishawishi vyama vingine vya upinzani kutosimamisha wagombea hii ni faraja kubwa kwa CCM; EVERY VOTE COUNT! Kinyang`anyiro hiki ni kikali CCM tayari inao mtaji wa kutosha tunahitaji msaada kidogo kutoka kwenye vyama vingine vya upinzani ambao tayri tumeshaupata. Kwa kumalizia tu ndugu Siyoi andaa suti ya kuingia nayo mjengoni. Chama Gongo la Mboto DSM
kaaazi kweli kweli
 
Polisi wapo pale kusimamia usalama; ipo hatari kubwa ya kukosekana kwa amani kwani Chadema inaonekana haipo tayari kushindwa; lile ni jimbo letu wanaccm wala hatuna wasiwasi uchaguzi sisi tulishamaliza siku nyingi.Chama
Gongo la Mboto DSM
Inaonekana uko karibu na Mwigulu na Nnape ndiyo maana unasema uchaguzi mlishafanya tayari.
 
Mumwi
CCM ndio hii hii kazi kwenu; ni muendelezo tu wa yale tuliyoanza Igunga; safari tunawapigia uwanja wa nyumbani; sera zetu zinaeleweka upo hapo?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom