Sababu zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu zipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by May Be, Oct 13, 2011.

 1. May Be

  May Be Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini sisi wasichana tukitongoza wanaume tunadharaulika?ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana malaya.Kwanini iwe hivo?halafu wasichana wakitembea na wanaume wengi wanaonekana malaya,wakati wanaume wakitembea na wanawake wengie heshima inaongezeka.
  kwanini inakuwa hivyo?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Mimi ukinitongoza sitakudharau. Ukiniambia unanipenda sitakuona malaya.

  Nitaanzia wapi kwanza kukuona malaya? Kisa tu ni kwamba umeniambia unanipenda? Hapana. Hiyo haipo na wala haikuji!

  Hiyo ya wanawake kutembea na wanaume wengi na kuonekana malaya wakati wanaume watembeao na wanawake wengi huonekana wao ndiyo wao, ni ndivyo ilivyo tu.

  Kuna mambo hapa duniani ambayo mtu huwezi ukayaelezea kwa ufasaha hata kama hayapo sawa. Mojawapo ya hayo mambo ni hilo la mwanamke na wanaume wengi na mwanamme na wanawake wengi. Ni upande wa maisha ambapo mambo huwa ndivyo yalivyo.
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Mwanaumme aliumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu...........................na mwanamke aliumbwa kwa manufaa ya mwanaumma...........kwa maana ya kisaidizi........................

  Kwa hiyo mwanamke anaposhindana na mwanaumme ni sawasawa kabisa na usemi usemao..............ukiiga kunya kwa tewmbo utapasuka msamba...............................


  Angalia idadi ya wanawake wenye vvu........................utapata jibu kuwa.......................it does not pay for a woman to rival her man......................nguvu ya mwanamke ipo kwenye kujiheshimu tu.....................na wala siyo kushindana na mzee wake......


  Mtume Paulo amekuelekeza ifuatavyo:-

  a) For a man indeed ought not to cover his head, since he is the image and glory of God; but woman is the glory of man. For man is not from a woman, but woman from man. Nor was man created for the woman, but woman for the man." 1 Corintihians 11:7-9.

  b) "Wives submit to your own husbands, as to the Lord. For the husband is head of the wife, as also Christ is head of the church; and he is the saviour of the body. Therefore, just as the church is subject to Christ, so let the wives be to their own husbands in everything." Ephesians 5:22-24.
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wanasema eti funguo inayofungua kofuli nyingi inaitwa master key, lakini kofuli inayofunguliwa na kila funguo hiyo haifai, utashauriwa ukanunue kofuli aina za Yale, Solex (original) na zingine imara zaidi
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  nimekuelewa kwa jibu la kwanza,but hilo la pili sikubaliani na wewe.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  kufuli inayofunguliwa na funguo nyingi haijiheshimu na yaweza kabisa kukaribisha wezi na wauaji..........................kumbuka simulizi ya samweli v.Delilah................vipane 5, 500 vya fedha vilitosha kumtosa mumewe ili mradi ajipatie utajiri wa harakaharaka.............ujue hiyo kufuli kweli ilikuwa ni bomu kabisa............
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Eleza basi jinsi ambavyo hukubaliani na mimi.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kitty teh teh na ndo kweli
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ila mkuu kwanini umalaya usiwe pande zote.?mana kila mtu hapo ametembea na watu wengi
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Hilo ndiyo ambalo hukubaliani na mimi? Kama ni ndiyo basi umenoa.

  Umenoa kwa sababu mimi siliungi mkono. Umalaya ni umalaya tu. Nilichosema ni kwamba katika maisha na katika jamii kuna baadhi ya mambo huwa ni ndivyo yalivyo hata kama hayaingii akilini.
   
 11. May Be

  May Be Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila hiyo kauli inatuonea
   
 12. May Be

  May Be Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  truth,ila na wewe una maandiko ya kweli
   
 13. May Be

  May Be Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ya kwanza ni kabla hamjaanza mahusiano,ila baadaye mnaanza kuongea ni malaya na mmeshafanikiwa
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni mfumo dume tu, mwanaume ataitwa rijali lakn mwanamke atakuwa malaya.
   
 15. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Ebu jiulize hili, kwanini Kofuli linalofunguliwa na Funguo nyingi halipendwi ila Funguo inayofungua makofuli mengi inaitwa Master Key..
   
 16. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hebu nitongoze fasta, dah maana ni muda sana tangu nipate tongozo la mwanamke kwa mara ya mwisho. Nakusubiri PM na tongozo lako lol
   
Loading...