hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Habari wana jamvi..
Karibuni katika mjadala huu wa wazi. Nimekua nikijiuliza sababu zinazosababisha website kuwa hacked, lakini sijapata jibu kamili. Je ni loopholes zinazosababishwa na mtengenezaji wa hiyo website? Au ni teknolojia inayotumika kutengeneza website husika? Au ni security holes kwa hostiing company anayehost website?
Naomba tujadili kwa pamoja... Karibuni wote