Na mm nshashindwaga kabisa kupenda kwa dhati damu ya mwenzangu, tena ndo toto liwe tundu tundu ndio kabisaaaa, labda umri ukipanda huko mbele uzee utanibadili ila kwa sasa sipend kbsa.Nakubaliana na wewe....shida yao moja tuu. Watakwambia umpende mtoto wake kuliko unavyoipenda mbususu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila ukweli usemwe kulea mtoto wa mwanaume mwenzio yataka moyo kwa kweli.Na mm nshashindwaga kabisa kupenda kwa dhati damu ya mwenzangu, tena ndo toto liwe tundu tundu ndio kabisaaaa, labda umri ukipanda huko mbele uzee utanibadili ila kwa sasa sipend kbsa zao la shahaw* za men mwenzangu
Daaah muambie ukweli mm yalishanikutaUsijaribu utajuta na utaishia kuua kabisa.
Nakuunga mkono100%Kuoa mwanamke aliyezalishwa ni kukosa akili, sababu kama aliweza kuzalishwa na kuachwa ni evidence tosha kuonesha yeye ni mtu wa aina gani na kwamba ni lazima kuna tatizo mahali kwake na mtu aliyemzalisha. Wewe kuwekeza hapo ni kujiingiza kwenye majanga na mikosi isiyo na lazima wakati mabinti wabichi wamejaa duniani.
Raha ya familia ni kuwa na yako peke yako.
Una umri gani?
Piece of advice: Grow Up.