sababu za wanaume kuongeza mke

sababu za wanaume kuongeza mke

maprakatatumba tu hawa watu
wanajali wasiokua na faida,yule mke
anaemzalia watoto na kuendeleza ukoo
anashindwa kumjali wala kumheshimu!!
umbulula tu umewazidi khaaa!!

 
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa

Kuongeza mke wa pili kunatokana na ukweli kuwa mke mmoja hamtoshelezi mme.Mimi nina mke mmoja ila hanitoshi lakini sijatafuta mke mwingine lakini ninachofanya ili kubalance mambo muda mwingi nakuwa busy kazini.Muda mwingi natoka kazini saa 2 ukiongeza na foleni saa tatu ninakuwa home nakula na kulala kwa muda ambao mke hastahimili vishindo, mimi binafsi nina uwezo wa kufanya hayo mambo kila siku.
 
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa

Mkuu tanua njia mkuu. Miezi miwili mitatu hamgusi mkeo??
 
Wanaume muwe na huruma na wake zenu.....

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewaanakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakinibaadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama nikuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandaliachakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko, anakuvua viatu anakulaza vizuri bado tu unapata courage ya kuongeza nyumba ndogo.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingineunagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua.Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia,hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tenainaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwaleimenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguoulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi janakashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtotoanakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumiamtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwinginena mwingine tena!

Unaugua kiasi kwamba huwezi kunyanyua hata kidole, anakuhudumia na kukusafisha hapo ulipo, anakulisha, anakuvisha ila ukipona unakimbilia kwa nyumba ndogo...

Laiti kama malipo yangekuwa yanatolewa papo kwa papo mngekomajeeeee!

Na mengine meeeeengi sana mnawafanyia lakini WANASAMEHE,WANAVUMILIA!

HIVI INGEKUWA WANAUME

MNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

 
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza katika ile hali mke wako anakuwa mchafu hajijali akiwa home inajenga mazingira ya kero na kuamua kutafuta mrembo nje ili atufarij sababu ya pili ni pale mwanamke anakuwa na uja uzito mpaka kujifungua hiyo huwa inachukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so mwanaume kuvumilia hicho kipind haiwezekani sasa anapoenda kudo anakuta mtoto mtundu kwenye gem ananogewa
wafanyieni magolikipa, eti akusafishe Weye halafu hajisafishe mwenyewe!
 

wanaume mna sababu na nyie mkiota
vitambi ruksa mke kua na asie na kitambi
kama humpi mkeo hela ya mafuta wala manukato
unataka anukie kwa kujipaka korie?mikia tu inawasumbua!!

Wanaume na wanawake siku hizi wanashindana vitambi sasa sijui nani atambwaga nani?
 
Wanaume muwe na huruma na wake zenu.....

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewaanakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakinibaadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama nikuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandaliachakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko, anakuvua viatu anakulaza vizuri bado tu unapata courage ya kuongeza nyumba ndogo.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingineunagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua.Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia,hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tenainaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwaleimenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguoulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi janakashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtotoanakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumiamtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwinginena mwingine tena!

Unaugua kiasi kwamba huwezi kunyanyua hata kidole, anakuhudumia na kukusafisha hapo ulipo, anakulisha, anakuvisha ila ukipona unakimbilia kwa nyumba ndogo...

Laiti kama malipo yangekuwa yanatolewa papo kwa papo mngekomajeeeee!

Na mengine meeeeengi sana mnawafanyia lakini WANASAMEHE,WANAVUMILIA!

HIVI INGEKUWA WANAUME

MNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?


Ukimfanyia hayo yote mwanamke wa generation hii yetu halafu bado ame stick na wewe unaweza kujikuta unaogopa hata kunywa chai yake au ukilala usiku unalala jicho moja. Maana ni hatari sana anaweza kuchukua maji moto ukaamshwa na maumivu lol
 
Kiukweli mke mmoja hatoshi ni huu umasikini tu ndio unaotufanya tubakie na mmoja. Wake wenyewe ni hawa ambao kila siku visingizio mara oh nimechoka mara oh hangimbwai kero tupu
 
Back
Top Bottom